OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,128
- 24,065
Ongereni sana wanangu wa London ..mumepambana vilivyo..
Hapana Mkuu Wapo Na Wengine WengiHivi mkuu Kichwa Kichafu hii Spurs upo peke yako tu humu?
Mimi pia ni mmoja waoHapana Mkuu Wapo Na Wengine Wengi
Na nyie mpambane angalau mpate point 1Ongereni sana wanangu wa London ..mumepambana vilivyo..
Sisi tutabeba zote mkuu..Leicester wale watoto wa mama..Na nyie mpambane angalau mpate point 1
Hahaha Unafika Hadi HukuMimi pia ni mmoja wao
Tunafukuza Mwizi Kimya Kimya MkuuMko vizuri sana msimu huu
Kila la heri
Spurs kashinda goli mbili bila Majibu dhidi ya Newcastle United.Nipeni matokeo jamani
Haa Adebayor hajastaafu bado kumbe?Spurs kashinda goli mbili bila Majibu dhidi ya Newcastle United.
Spurs 2-0 NewCastle United.
E.Adebayor 89' 91'+
Aliyetoa assist ni Soldado.
Kama Rivaldo "the Magician" Mpaka 2015 alikuwa bado anasakata kabumbu, nini E Adebayor bwana.Haa Adebayor hajastaafu bado kumbe?