Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,570
- 188,777
.
HahahahaMan city kwa Uefa n nani sasa c underdog tu ,,usiombe ukutwe na bwana Pepsi ,,origi
FinallyTuko pamoja jombaa, komaeni mkutane na kaka zenu Finals, tukacheze game ya 39 EPL huko Madrid.
Hahah mzee baba haikutarajiwa na wengu hii karamuMkuu Karibu kwenye karamu
Tulimtanguliza Na Baiskeli Juani Tulijua Itayeyuka Haraka Nadhani Umejionea
Karibu Kuangalia FinalAsanten kwa kushiriki
Ukiamka Utajua Nini Kinaendelea MkuuHii Sasa ndo finally tamu Ajax vs Liverpool
Karibu Kwenye Karamu.Spurs ndo bye tena
don unaamini imani potofu baadhi ya nyakati?Hongera sana mkuu, it was a miracle.
Nilikuwa nawatamani sana mvuke ila style yenu ya kuvuka kwa City na kwa hawa watoto nimeielewa.
Twende tukacheze game ya 39 EPL, tunaichezea huko huko Spain.
Pole Sana Kwa Kuwa Na Matokeo Yako Mwenyewe.hahahaha, umenifanya nicheke kwa sauti aisee eti wakomaeee, hahahaha wale iwezo mdogo bro pale ndo mwisho wao
COYSWrite your reply...
Watoto Wadogo WaleDuh siamini Ajax katoka kizembe hivo yaani last kick of the game ndio anafungwa!!
Amelala Akiamka Atajua Nini KinaendeleaRudia tena!!?
Msiyempenda katinga
don unaamini imani potofu baadhi ya nyakati?
Asante mkuuHongereni
Ni Suala La Muda Tukutane Madrid MkuuTo declare my interest mm ni Liverpool FC, sijapoteza kitu nawakaribisha sana 1st June tukutane pale Madrid ili ijulikane. Hapa hakuna Ramuli wala waganga wa kienyeji kama game za Kibongo, mwamuzi ni Referee Clock 90minutes.
Wataendelea Kushangaa Hivi Hivi MkuuHahah mzee baba haikutarajiwa na wengu hii karamu
Pamoja MkuuHongera sana mkuu, it was a miracle.
Nilikuwa nawatamani sana mvuke ila style yenu ya kuvuka kwa City na kwa hawa watoto nimeielewa.
Twende tukacheze game ya 39 EPL, tunaichezea huko huko Spain.