Tottenham Hotspurs Thread

Shedafa

JF-Expert Member
May 21, 2008
802
195

Waswahili husema "avumae baharini papa, kumbe wengi wapo". Msimu huu nasi tumo, hatujikongoji bali tumo!.

Tottenham Hotspurs F.C wengine upenda kufupisha kwa Tottenham au Spurs, Timu ya England inayopatikana Tottenham,Haringey,London ambayo inashiriki Premier League.

Wembley Stadium ndio uwanja wa nyumbani kwa Spurs msimu (2017-2018) wenye uwezo wa kuchukua watu 90,000, wakati uwanja wake wa nyumbani ukiwa kwenye matengenezo(White Hart Lane).

Kuzaliwa: 5 September 1882 (Hotspurs F.C)

Major honours
DomesticLeague competitions
Premier league: 2nd position(2016-2017)

First Division/Level 1:
Winners (2):
1950–51, 1960–61

Second Division/Level 2:
Winners (2):
1919–20, 1949–50

Cup competitions
FA Cup: Winners (8):

1900–01, 1920–21, 1960–61, 1961–62, 1966–67, 1980–81, 1981–82, 1990–91

League Cup: Winners (4):
1970–71, 1972–73, 1998–99, 2007–08

FA Charity Shield/FA Community Shield: Winners (7):
1921, 1951, 1961, 1962, 1967*, 1981*, 1991* (*shared)

European
UEFA Cup Winners' Cup: Winners (1):

1962–63

UEFA Cup/UEFA Europa League: Winners (2):
1971–72, 1983–84

Other honours/friendlies
Historical competitions

Southern League:[120]
Winners (1): 1899–1900

Western League:[120]
Winners (1): 1903–04

London League Premier Division Champions:
Winners (1):
1902–03

Football League South 'C' Division Champions:
Winners (1):
1939–40

Southern District Charity Cup: Winners (3):
1901–02, 1904–05, 1906–07

Sheriff of London Charity Shield: Winners (2):
1901–02, 1933–34

London Challenge Cup: Winners (8):
1910–11, 1928–29, 1936–37, 1947–48, 1958–59, 1963–64, 1970–71, 1973–74

Friendly tournaments
Anglo-Italian League Cup:
[129]
Winners (1): 1971

Costa Del Sol Tournament:
Winners (2):
1965, 1966

Nolia Cup: Winners (1): 1977

Kirin Cup: Winners (1): 1979

Sun International Challenge Trophy: Winners (1): 1983

Peace Cup: Winners (1): 2005

Vodacom Challenge: Winners (2): 2007, 2011

Feyenoord Jubileum Tournament: Winners (1): 2008

Barclays Asia Trophy: Winners (1): 2009

AIA Cup: Winners (1): 2015

Spurs Motto: To Dare is to Do
 
Dae

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
12,014
2,000
Kwa nini mkuu, ile game ya kwanza hawa watoto niliona wanaachia sana matundu, nikajua kama Son akiwepo watatoboka.

Son leo kacheza anao anao mwingi, ila Moura kafanya yake.
  1. klopp effect
  2. msimu huu mumeshinda mechi zote mbili dhidi ya tottenham (2-1) na hiyo ndio khofu yangu, kabla ya mechi ya spurs dhidi ya man city tayari halmashauri yangu ya imani potofu ilikwishanipa majibu ya kitakochotokezea kwa man city
  3. spurs wamekuwa wakibebwa na bahati mechi hizi za mwisho za UEFA
  4. Kila la kheri fainali
 
Don Clericuzio

JF-Expert Member
Dec 8, 2017
13,597

Mkuu hawa jamaa vuka zao kwa City na Ajax zinaniambia kuna kitu special wanaelekea ku-achieve.
Ingawa sisi pia itakuwa ni ajabu kuingia fainali mbili tunapoteza, na haitakuwa poa kupoteza kwa watu ambao namba yao tunayo.
Wasiwasi wangu pia ni tabia ya UEFA kutofata ligi, mfano ni Spurs kwa City, Liver kwa City, Atlet kwa R Madrid, Atlet kwa Barca, Liver vs Chelsea 2005 nk, matokeo ya ligi yanakuwa tofauti na UEFA.

Ulichokiona nakiona kwa karibu sana ila najivika upofu wa kishabiki, naona kama hatustahili kufanyiwa hivyo.

Klopp ataondoa mkosi wake pia.
 
Guasa Amboni

JF-Expert Member
Aug 13, 2015
8,013
2,000
Hongereni wana spurs kutinga fainali si jambo dogo ingawa safari yenu ilikuwa machozi jasho na damu hatimae mmebakiza dakika tisini za kucheza ili mnyanyue kwapa kwa mara ya kwanza toka Adamu na Hawa. Mara ya mwisho kwa timu za wingereza kucheza fainali ilikuwa takriban miaka kumi imepita waqt man united na chelsea zilipokutana Moscow. Si mechi ya kubeza kwani mnakutana mkiwa mnajua udhaifu na nguvu za kila mmoja kila la kheri penye fainali.
 
interlacustrineregion

JF-Expert Member
Oct 28, 2018
7,173
2,000
Mkuu hawa jamaa vuka zao kwa City na Ajax zinaniambia kuna kitu special wanaelekea ku-achieve.
Ingawa sisi pia itakuwa ni ajabu kuingia fainali mbili tunapoteza, na haitakuwa poa kupoteza kwa watu ambao namba yao tunayo.
Wasiwasi wangu pia ni tabia ya UEFA kutofata ligi, mfano ni Spurs kwa City, Liver kwa City, Atlet kwa R Madrid, Atlet kwa Barca, Liver vs Chelsea 2005 nk, matokeo ya ligi yanakuwa tofauti na UEFA.

Ulichokiona nakiona kwa karibu sana ila najivika upofu wa kishabiki, naona kama hatustahili kufanyiwa hivyo.

Klopp ataondoa mkosi wake pia.
Umechambua kisoka zaidi, safi sana.
 
Mbu

JF-Expert Member
Jan 11, 2007
12,738
1,500

Waswahili husema "avumae baharini papa, kumbe wengi wapo". Msimu huu nasi tumo, hatujikongoji bali tumo!.

Tottenham Hotspurs F.C wengine upenda kufupisha kwa Tottenham au Spurs, Timu ya England inayopatikana Tottenham,Haringey,London ambayo inashiriki Premier League.

Wembley Stadium ndio uwanja wa nyumbani kwa Spurs msimu (2017-2018) wenye uwezo wa kuchukua watu 90,000, wakati uwanja wake wa nyumbani ukiwa kwenye matengenezo(White Hart Lane).

Kuzaliwa: 5 September 1882 (Hotspurs F.C)

Major honours
DomesticLeague competitions
Premier league: 2nd position(2016-2017)

First Division/Level 1:
Winners (2):
1950–51, 1960–61

Second Division/Level 2:
Winners (2):
1919–20, 1949–50

Cup competitions
FA Cup: Winners (8):

1900–01, 1920–21, 1960–61, 1961–62, 1966–67, 1980–81, 1981–82, 1990–91

League Cup: Winners (4):
1970–71, 1972–73, 1998–99, 2007–08

FA Charity Shield/FA Community Shield: Winners (7):
1921, 1951, 1961, 1962, 1967*, 1981*, 1991* (*shared)

European
UEFA Cup Winners' Cup: Winners (1):

1962–63

UEFA Cup/UEFA Europa League: Winners (2):
1971–72, 1983–84

Other honours/friendlies
Historical competitions

Southern League:
[120]
Winners (1): 1899–1900

Western League:[120]
Winners (1): 1903–04

London League Premier Division Champions:
Winners (1):
1902–03

Football League South 'C' Division Champions:
Winners (1):
1939–40

Southern District Charity Cup: Winners (3):
1901–02, 1904–05, 1906–07

Sheriff of London Charity Shield: Winners (2):
1901–02, 1933–34

London Challenge Cup: Winners (8):
1910–11, 1928–29, 1936–37, 1947–48, 1958–59, 1963–64, 1970–71, 1973–74

Friendly tournaments
Anglo-Italian League Cup:
[129]
Winners (1): 1971

Costa Del Sol Tournament:
Winners (2):
1965, 1966

Nolia Cup: Winners (1): 1977

Kirin Cup: Winners (1): 1979

Sun International Challenge Trophy: Winners (1): 1983

Peace Cup: Winners (1): 2005

Vodacom Challenge: Winners (2): 2007, 2011

Feyenoord Jubileum Tournament: Winners (1): 2008

Barclays Asia Trophy: Winners (1): 2009

AIA Cup: Winners (1): 2015

Spurs Motto: To Dare is to Do
..........duh, e bana eee mmevuka?

Mkuu Shedafa bado upo hai?! Spuds,
Hongereni sana wana
 
Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
34,196
2,000
"I am a really, really positive guy and it is one of the best feelings to be playing in the Champions League Final, so I just want to make sure that I am ready for every single ball. It is in three weeks, so I hope that I am in fire mode!" - Heung-Min Son. Son.jpeg
 
Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
34,196
2,000
Mauricio Pochettino had previously stated that he is optimistic that Harry. Kane could return for the Champions League final against Liverpool on June 1st.
--
He is currently stepping up his training schedule to give himself the best possible opportunity of taking to the field at the Wanda Metropolitano.
--
The Guardian are reporting that his efforts are being overseen by the Spurs medical team and has already began running.
--
Kane is set to begin some drills involving the ball over the next few days and will step up the intensity with his first set of sprinting drills next week.
[ Guardian_Sport] kane.jpeg
 
Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
34,196
2,000
Tottenham are very interested in bringing Ryan Sessegnon to Spurs this summer, with the player wanting the move to Pochettino’s side. Fulham have to sell him in the next few weeks as he will leave on a free next summer. The 18 year old is priced at around £25M. Spurs are yet to make an offer yet, but it is likely they will do after the Champions League final.
_____________
Source: (David Ornstein BBC) ssegno.jpeg
 
Alisina

JF-Expert Member
Aug 9, 2016
3,586
2,000
Bwana mkubwa,
Pochettino kweli atabaki msimu ujao..?
Tottenham are very interested in bringing Ryan Sessegnon to Spurs this summer, with the player wanting the move to Pochettino’s side. Fulham have to sell him in the next few weeks as he will leave on a free next summer. The 18 year old is priced at around £25M. Spurs are yet to make an offer yet, but it is likely they will do after the Champions League final.
_____________
Source: (David Ornstein BBC) View attachment 1099422
 
Alisina

JF-Expert Member
Aug 9, 2016
3,586
2,000
Juzi nilikuwa namtazama Pochettino mbinu zake,Ubunifu Wake wa Ukufunzi.

Moja ya Makocha 3 kwa dunia ya sasa ninao wakubali mno.

UEFA final naamini itakuwa moja ya final nzuri sana.

Naifananisha na final UEFA ya Dortmund vs Bayern 12/13.Moja ya fainali niliyoburudika sana mchaka mchaka mwanzo mwisho Energy ya kutosha Uwanjani.

Kloop vs Pochettino.
 
Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
34,196
2,000
TRANSFER NEWS

Tottenham Hotspur are preparing a £21.5million summer move for Bayer Leverkusen star Julian Brandt according to the Daily Mail.

| The Daily Mail suggest, Mauricio Pochettino and Tottenham are very interested in the 24-time German international, who is currently ranked third in the Bundesliga with 11 assists to go along with his 6 goals.
--
| Bayer Leverkusen ace Julian Brandt has a release clause of just €25M (£21.85M).
--
| The 23-year-old has scored 41 goals and contributed 51 assists in 214 games since his arrival from Wolfsburg in 2014. Brandt.jpeg
 
Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
34,196
2,000
Kiongozi Pochettino Kwa Alichokifanya Hadi Sasa Ni Kikubwa Na Tutaendelea Kumkumbuka Miaka Yote.
Hakuna Uhakika Sana Ila Naamini Ndoto Yake Ya Kwanza Ameitimiza.

Wakati Anafika Alitaka Kuhakikisha Timu Inashiriki UEFA Ili Aweze Ku-Keep Best Player Na Kufanya Mchezaji Yoyote Kama Akimuitaji Kwenye Club Kuwe Na Urahisi.

Kwa Misimu Yote Hii Ya Hivi Karibuni Poch Alitaka Kubadiri Mfumo Wa Club Kiundeshaji(Usajili na Kila Kitu) Ila Boss Levy Alikuwa Mgumu Japo Alikuwa Na Sababu Ya Msingi Ya Maboresho Ya Uwanja.

Pamoja Na Tetesi Nyingi Poch Bado Yupo Kimya Ila Tatizo Ilikuwa Ni Kiuchumi.

Hata Hivyo Karudia Tena Hivi Karibu Kauli Yake Ya Club Inatakiwa Kubadiri Jinsi Ya Uendeshaji Wake La Sivyo Poch Tunaweza Mkosa Msimu Ujao.Ila Lolote Laweza Tokea Kama Juzi Juzi Hapa Alitoa Kauli Juu Ya Uamuzi Wa Eriksen Alitamani Aendelee Kuwa Nae Maana Toka Mwaka Jana Mkataba Wa Eriksen Ulikuwa Unaenda Kikomo

Levy na Ed Ni moja ya vichaa walio katika soka.

Mmoja anaahueni Bwana Levy.

Uwezo wa Pochettino Upo wazi sasa kama vazi la kahaba...kama hawatajali sana falsafa wana Barcelona naona wananafasi ya kumnyakua au Italia giant's.

Naona hapa boss levy atapambana kihuni na wachukuzi wa Mwalimu.

UEFA kuna shabiki niliwaambia hawa watoto wa Ajax japo na wazee wamo (Tadic)wahafui dafu,WanaMoto wa mabua kilichowakuta Onana atasimulia kwao dunia ya Tatu. main-qimg-f951e9eae9c4342530c2a7fc13dd4b45-c.jpeg main-qimg-81e80ebee27d7934b76e9a149fc5ba6d-c.jpeg
 
Top Bottom