Tottenham Hotspurs Thread

Shedafa

Shedafa

JF-Expert Member
May 21, 2008
802
195


Waswahili husema "avumae baharini papa, kumbe wengi wapo". Msimu huu nasi tumo, hatujikongoji bali tumo!.


Tottenham Hotspurs F.C wengine upenda kufupisha kwa Tottenham au Spurs, Timu ya England inayopatikana Tottenham,Haringey,London ambayo inashiriki Premier League.

Wembley Stadium ndio uwanja wa nyumbani kwa Spurs msimu (2017-2018) wenye uwezo wa kuchukua watu 90,000, wakati uwanja wake wa nyumbani ukiwa kwenye matengenezo(White Hart Lane).

Kuzaliwa: 5 September 1882 (Hotspurs F.C)


Major honours
DomesticLeague competitions
Premier league: 2nd position(2016-2017)


First Division/Level 1:
Winners (2):
1950–51, 1960–61

Second Division/Level 2:
Winners (2):
1919–20, 1949–50

Cup competitions
FA Cup: Winners (8):

1900–01, 1920–21, 1960–61, 1961–62, 1966–67, 1980–81, 1981–82, 1990–91

League Cup: Winners (4):
1970–71, 1972–73, 1998–99, 2007–08

FA Charity Shield/FA Community Shield: Winners (7):
1921, 1951, 1961, 1962, 1967*, 1981*, 1991* (*shared)

European
UEFA Cup Winners' Cup: Winners (1):

1962–63

UEFA Cup/UEFA Europa League: Winners (2):
1971–72, 1983–84

Other honours/friendlies
Historical competitions


Southern League:[120]
Winners (1): 1899–1900

Western League:[120]
Winners (1): 1903–04

London League Premier Division Champions:
Winners (1):
1902–03

Football League South 'C' Division Champions:
Winners (1):
1939–40

Southern District Charity Cup: Winners (3):
1901–02, 1904–05, 1906–07

Sheriff of London Charity Shield: Winners (2):
1901–02, 1933–34

London Challenge Cup: Winners (8):
1910–11, 1928–29, 1936–37, 1947–48, 1958–59, 1963–64, 1970–71, 1973–74

Friendly tournaments
Anglo-Italian League Cup:
[129]
Winners (1): 1971

Costa Del Sol Tournament:
Winners (2):
1965, 1966

Nolia Cup: Winners (1): 1977

Kirin Cup: Winners (1): 1979

Sun International Challenge Trophy: Winners (1): 1983

Peace Cup: Winners (1): 2005

Vodacom Challenge: Winners (2): 2007, 2011

Feyenoord Jubileum Tournament: Winners (1): 2008

Barclays Asia Trophy: Winners (1): 2009

AIA Cup: Winners (1): 2015

Spurs Motto: To Dare is to Do
 
Internal

Internal

JF-Expert Member
Feb 23, 2017
3,385
2,000
Nipo upande wa spur kutoka manyuu fc
 
Numbisa

Numbisa

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
167,325
2,000
Final facts
Liverpool would go third on their own on the all-time European Cup honours' board should they beat Spurs to lift the trophy for a sixth time.

In total, Tottenham and Liverpool have met 170 times in all competitions, the Reds winning 79 to Spurs' 48; there have been 43 draws.

Spurs are the 40th club to reach the European Cup final, and the first newcomers since Chelsea in 2008. They could become the 23rd side to win the European Cup.

Having got Liverpool's goal against Real Madrid in Kyiv last year, Mané could become the eighth player to score in more than one UEFA Champions League final.

There have been six previous UEFA Champions League finals between teams from the same country.
 
eden kimario

eden kimario

JF-Expert Member
Jun 13, 2015
10,186
2,000
Kichwa Kichafu nakutakia mchezo mwema ila kombe sijui kama utabeba
 
Ollachuga Oc

Ollachuga Oc

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
10,124
2,000
Vizuri sana wanangu wa London

Tumejitahidi kadri ya uwezo wetu..
 
tamuuuuu

tamuuuuu

JF-Expert Member
Mar 10, 2014
13,772
2,000
Yani Siku city anatoka nilijua baaasi hawa wengine hawawezi

Mmeonesha udhaifu sn.Kane ndo alikuwa kirusi leo.weka Lucas mapema,ona anavolia sasa!
 
The real Daniel

The real Daniel

JF-Expert Member
Jan 5, 2017
1,046
2,000
Tatizo ni kufungwq mapema kiasi kile, nq ni bora ingekuwq ni move, kuliko individual errors.
 
rikiboy

rikiboy

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
11,720
2,000
Yani Siku city anatoka nilijua baaasi hawa wengine hawawezi

Mmeonesha udhaifu sn.Kane ndo alikuwa kirusi leo.weka Lucas mapema,ona anavolia sasa!
Bora jamaa angetumia kina Lucas kuanza kama last time... yani attack zote zilw hata goli mojaa hakunaa
 
tamuuuuu

tamuuuuu

JF-Expert Member
Mar 10, 2014
13,772
2,000
Bora jamaa angetumia kina Lucas kuanza kama last time... yani attack zote zilw hata goli mojaa hakunaa
Hovyo kabisa,Ile spirit ya Ajax kule haikuwepo kabisa.Kwl tot bonge la msindikizaji
 
The real Daniel

The real Daniel

JF-Expert Member
Jan 5, 2017
1,046
2,000
Kane hakutakiwa kurudi kipindi cha pili
 
ze-dudu

ze-dudu

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
11,724
2,000
Walikua na uwezo mkubwa wa kuchomoa lile goli hata ya mapumziko......but tot ni underdog akaze mwakani anaweza beba
Tatizo ni kufungwq mapema kiasi kile, nq ni bora ingekuwq ni move, kuliko individual errors.
 
Top Bottom