Uwiii Yo Yo huyo mbona ni kibibi kizee afu kimepiga mini?..
unataka nyingine?
unataka nyingine?
arifu yule mchizi pale juu kataka picha.....si unajua watu humu kila thread wanataka picha nimemuweka hiyo aridhike afu tuendelee....BTW zile totozi si mchezoYOYO thread yako ya ukweli sana ulivyozifia hizo totoz za mwenge ila ulivyorusha hii picha basi nimechoka mwenyewe
arifu yule mchizi pale juu kataka picha.....si unajua watu humu kila thread wanataka picha nimemuweka hiyo aridhike afu tuendelee....BTW zile totozi si mchezo
kweli mwenge kuna twiga wa ukweliAiseeee wakuu pale Mwenge mbona bruuuudani sana....mida ya majioni jioni hivi saa kumi mpaka saa 2usiku wewe katika katiza pale mwenge stand mamaaaa kuna totozi balaa....sijui wanatokaga na kwenda wapi.....
afu sasa timing nyingine leo si ijumaa? basi kesho j'mosi wewe weka makazi kabisa pale...aisee wale watoto sijui wamejiumba wenyewe....yaani unakutana na toto limeumbika kweli kweli alafu network available.....unakuta totozi wezere lipo,sura weweee,shape mamaaaa aisee alafu sasa na zile nguzo za buku 2 za pale mwenge zinawakaa vema sana.....
unataka nyingine?
Uwiii Yo Yo huyo mbona ni kibibi kizee afu kimepiga mini?..
Mtu unasifia miguu,wezere au hips hivi unavitumiaje vitu hvyo??
Hahaha!SL ! Wajua kinachotakiwa ni Punda ! Mlio wake wa nini ?