Daaahhh..!!i love you mtoto mzuri..ningekuwa mtoto wa fisadi hapa bongo ningekutafuta popote ulipo Duniani ili nione mambo yako..!!daahhh...napata msononeko wa Moyo..!!
Allien I wish ningekuwa nakufahamu wewe na Mkeo/Mpenzio ili nimuone jinsi alivyo mzurii na mrembo... Sababu kaka (if you are) you have an eye for em' pretty ladies na unastahili pongezi. Nahisi katika reality mwanamke ambaye hana mvuto hata akiwa mbele yako humuoni kabisaaa... Lol.