Toto zuri pishi "F"

Toto zuri pishi "F"

Safi wewe wa kukuletea Maimuna wa kwetu hata mahari hatuna haja nayo. Yeye akiamka kujipara kwenda kunywa chai kwa mama muuza, akirudi barazani, mchana pas ndefu, jioni mitaani atakula hukohuko kurudi saa 6-8 usiku, Tuma nauli nikuagizie aje.

Mkuu, kama anachelewa kurudi nyumbani kiasi hicho mimi sitamuweza kabisa jaribuni kwingine.
 
Eee eti kupika tu talaka,mi nadhani labda tatizo kukatika kama feni toto alikua vivu kwenye maswala ya on bed,ameona asingizie hajui kupikaa

mh! Dinazarde unawaza kama mimi, labda kuna tatizo kwenye mortar ya feni, otherwise........ mh! yaani nimfukuze wakati feni linapepea mpaka unashindwa kutamka neno! aah!
 
Raw.basil.fried.rice.jpg
Hili bokoboko la nini?
 
Mkuu, kama anachelewa kurudi nyumbani kiasi hicho mimi sitamuweza kabisa jaribuni kwingine.

Kama tatizo ni kurudi usiku tu! Yupo mwanahawa ye hatoki kwao lkn wageni hawaishi hasa kina mjomba,binamu,kaka na maclassmate.
Kazi kwako!
 
OK kumbe kuna kumfundisha mke. Basi kumbe ndo maana ngumi,makofi , fimbo pamoja na mateke ni sehemu ya ndoa. Nimepata kitu hapa. Asantee

Umesahau dawati la jinsia na watoto na yule dada EATV cjui anaitwa nan..... vile enhe kishoto kama sikosei, mwenazako kayaona hayo kampa karatas yaishe.
 
Nionavyo mimi wazazi wanapaswa kugawa majukumu/ kazi kwa BOTH watoto wa kike na kiume ili kuwaandaa kwa maisha ya kujitegemea ukubwani. Maana hata hao wa kiume ndo wanapaswa kuangalia tv asubuhi mpaka jioni? Ndo maana wanaume wanakazana kuwapa wanawake chupi za kufua all in the name of "mapenzi". Mwanamke akisafiri miezi miwili jamaa anaishia kurudia uchafu coz in actual sense hawezi kujihudumia. Kitanda anatandika kwa tabu, kufua mtihani... basi anabakia kuchemsha mayai tu maana ndo anachoweza kupika!
 
Kama tatizo ni kurudi usiku tu! Yupo mwanahawa ye hatoki kwao lkn wageni hawaishi hasa kina mjomba,binamu,kaka na maclassmate.
Kazi kwako!

Siyo tatizo, Mhimu nijulishwe kabla kama kuna mgeni fulani bin fulani atakuja siku fulani saa fulani na ataondoka muda gani, basi. Basi niandikie namba zako nikupigie nije nimchukuwe.
 
Hii mambo ya kuwa na housegirl inaharibu watoto wetu wa kike,pia wakati wa likizo badala ya kufanya kazi za nyumbani wanaishia tuition matokeo mtoto anamaliza chuo hajui kupika hata uji

Mmmh! Nadhani wake wazuri kwa mambo ya jiko ni ma house girls!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom