Bwana harusi alikuwa anatafuta mke au chef?
^^
Kwa mabinti wa siku hizi, atafukuza wengi. Wanajua kupaka rangi kucha, lips na kupiga mizinga, matunzo ya jikoni wamewaachia wafanyakazi wa ndani. Ni vema akamfundisha kupika!
^^
uyo alikuwa na lake jambo.ila alisubiri kosa dogo lifanyike apate upenyo
mmmmmmhhh!!!! Hapa mleta thread tuweke vizuri tusijeanza kubwabwaja humu halafu kumbe sivyo. hivi umesema hajui kupika yaani kupika kwelikweli kwenye moto wa kiberiti au umetumia tafsda tu una maana machine yake haichapi mzigo?
kupika tuuuuuu???????????????????????????
Jamani hii ishu nimeiskia na nikaona, sasa leo niko kwenye UDA mbag/rang3-mwenge,
Jamaa mmoja ananipa story kuna Bi. Harusi kaumbuka kapika bwabwa biiichi kapewa talaka wiki ya pili toka matarumbeta yapulize.
Sema lako kuhusu hii ishu.
mambo ya ubweche bweche...
Dinazarde nakuonaJe angemfumania si angemlimpua kha!!!!
Kama huna cha kuandika nyamaza kimya. Hatutaki tabia za umbeya hapa ndani.
Hapa nakumbuka ujumbe alionitumia kaka yangu
In those old good days girls used to cook like their mothers, but nowadays they drink like their fathers. Is it what we call women empowerment? Dada zetu wanajua kupiga mizinga, kukagua simu za wapenzi wao, kupaka rangi kucha na kuangalia 'series'. Masuala ya msingi ambayo mama zetu waliyafanya na kufanya baba zetu waone thamani ya kuoa wao wameyaacha kwa wasichana wa kazi 'dada'. 😕
Bwana harusi hakuwa serious kwani mke ni wa kukupikia tu?
Je hafundishiki?
Labda kuna mengine zaidi ya upishi au mke jeuri hataki kupika
^^
Kwa mabinti wa siku hizi, atafukuza wengi. Wanajua kupaka rangi kucha, lips na kupiga mizinga, matunzo ya jikoni wamewaachia wafanyakazi wa ndani. Ni vema akamfundisha kupika!
^^
je wanaume wa kileo mtaweza waliyofanya baba zetu...like kumuweka wife home asifanye kazi na umpe yote atakakayotamani???life has changed mkuu...