Toto tundu.

Apr 20, 2012
19
3
Dogo Tundu alikuwa anapiga stori na dingi yake mara demu wake akatokea....!
Dah...! Dogo Tundu akaamua kutumia akili ya kuzaliwa ili dingi yake asijue chochote kati yao,
maongezi na demu wake yakawa hivi...
Dogo Tundu: Umekuja kuchukua kitabu cha Speak English my father don't know?!
Dem: Ndio kile where should I wait for you?
Dogo Tundu: Hicho hakipo labda kile cha 'Wait for me under the coconut tree'.
Dem: Sawa usisahau na kile cha 'Don't be late I give you 5 minutes'.!

Basi Kingi kusikia hivo akamzawadia mwanawe shilingi 10,000/= ili aongeze bidiii ya kusoma.
 
hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha hahahahaha:smile-big:
A%20S%20angel.gif
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom