toto bovu balaa!

toto bovu balaa!

Sugi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
1,392
Reaction score
295
mama mmoja akiwa na mwanae anampa mazoezi ya kutembea:
mara anatokea mlevi huku akipepesuka kwa ulevi
mlevi:"haki ya nani sijawahi kuona toto baya kama hili tangu nizaliwe"
Baada ya mlevi kutokomea zake
Mama🙁huku akivuja machozi)
"uuuwi jamani nimetukanwa mie hapa hapa"
Mpita njia🙁huku akitoa kitambaa na ndizi mfukoni)"pole mama hiyo ndio dunia ilivyo,chukua hiki kitambaa ufute machozi,na hii ndizi ukape kanyani kako pole sana"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom