OSOKONI
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,965
- 5,336
Tatizo unajua rede tu hujui mpira na hujui trend ya mpira! Crystal palace inashika mkia EPL hajamfunga mtu yoyote zaidi ya bingwa mtetezi Chelsea do you see that?Mna timu kabambe , kuanzia kocha hadi wachezaji na mnacheza ligi ya mabingwa , kama haitoshi mmemtandika mbabe Real Madrid kwa kipigo cha mbwa aliyekunywa maziwa ya mtoto , bao 3-1 , mnafungwaje na timu iliyochoka kuanzia kocha , wachezaji na mashabiki ?
Hii kwangu naihesabu kama hujuma dhidi ya Timu yenu , sijui kisa ni nini ? Siku zote timu nzuri ndio hushinda game , mnafungwaje na wachovu tena wenye mgogoro na wachezaji wao ambao wamegoma kusaini kutokana na ubovu wa Timu ya Arsenal , kwa hofu ya kuzika viwango vyao ?