Totenham Hotspurs inafungwaje na vibonde Arsenal ?

Bila shaka wewe utakuwa ni lishabiki la Liverpool vibonde wa Tottenham sasa roho imekuuma kuona gunners tume mkandamiza mbabe wako!! Pole sana kila mtu na mbabe wake.

Usisahau hii.

Tottenham 4-1 Liverpool

Arsenal 2-0 Tottenham.
 
Kwa wale wazee wa kubet, kama hukuzipa timu kubwa za England aisee, hawakuwa makini.

Tot ni wazuri lakini leo sikuwapa nafasi kabisa ya kushinda hata draw.
 
Kwa wale wazee wa kubet, kama hukuzipa timu kubwa za England aisee, hawakuwa makini.

Tot ni wazuri lakini leo sikuwapa nafasi kabisa ya kushinda hata draw.
Unaanzaje kumpa spurs ushindi mbela ya arsenal!? Hiyo hela bora ukacheze biko maana huko kuna probability kubwa ya kupatia zile namba kuliko spurs kumfunga arsenal tena Emirates.
 
Na hii ndio sifa ya utani wa jadi. Ba usishangae Barcelona akalala kwa hii hii Madrid mbovu siku wakikutana.
 
Leo nimefurahi sana Tottenham kufungwa, hawa jamaa wanaongea sana.. baada ya kuwa na kikosi kizuri pamoja na mafanikio machache hapa karibuni, tena mafanikio yenyewe ni kushika nafasi nzuri kwenye msimamo wameshaanza kujitangaza wao ni bora kwa sasa London. Imefika hatua wanaanza kuzitusi Chelsea na Arsenal na kujiona wao ni bora sana, sasa leo ndio wameoneshwa kwamba bado wana miaka mingi sana kufuta utawala wa hivi vilabu viwili.
 
Kuna watu wanazi sana kwenye Soka yaani mtu anashindwa kujua Derby na UEFA.NorthLondonDerby ni mechi yenye pressure kubwa kuliko UEFA kutokana kuwepo kwa heshima kama unabisha subiri tuende kwao kama
matokea yatakuwa GG.

LondonIsRed
VioletIsBlue
Coyg
 
Back
Top Bottom