Arsenal aombe Manchester City asitolewe Uefa na Bayern Munich

uwe hodari

JF-Expert Member
Dec 16, 2022
3,980
8,333
Kusema ukweli arsenal ni timu ya kawaida na ya wavulana na upepo umewaendea vizuri

Pamoja na ubovu wake arsenal odds za kuchukua ubingwa zipo kwake zaidi kuliko manchester city

Hizi ndio sababu zinazompa odds nyingi arsenal kubeba ubingwa

Amebaki na mechi za Epl tu tofauti na mshindani wake manchester city ambaye yupo busy kwenye mashindano matatu

Kisaikolojia wachezaji wa arsenal wapo settled inaelekea wanasaikolojia wanashinda kiwanja cha emirates

Arsenal anaongoza ligi kwa point tano

Arsenal hana mechi ngumu ukilinganisha na manchester city
Wengi wanasema newcastle ni mechi ngumu kwa arsenal ila sio kweli,kwa uchezaji wa arsenal hiyo mechi ni rahisi sana atashinda zaidi ya goli nne

Manchester city atapoteza dhidi ya brighton, brentford, na west ham kutokana na uchovu wa uefa km hatatolewa kwenye uefa

Hivyo mashabiki wa arsenal waombe sana Manchester City asibanduliwe uefa na Bayern,akibanduliwa Arsenal kwisha

Na arsenal ikichukua ubingwa itakuwa kikosi kibovu zaidi kuwahi kubeba ubingwa pale Epl

Tuombe Pep abanduliwe uefa abaki na Epl match tu
 
Peaks the guys ambae anashabikia moja ya team hizi, liverpool, man utd au chelsea hapo moja hutoki, na by my expereince wewe ni shabiki wa man utd tuu ndio huwa wanchukia arsenal kuwa juu yao hata kwa point moja, nakukumbusha man utd kaachwa points 19, livepul kaachwa 29 na chelsea kaachwa points 34 mue mnatumia akili kusema arsenal ni mbovu wakati anashinda na mpita mzuri anaupiga, pale anfield ni strange place to go, juzi tu fala mmoja kapigwa saba bila ndani ya dk 45 tuu, city kapoteza pale sare ya arsenal ni halali kwa arsenal, shabiki wa city tu ndio anaeza kutamba ila nyie wengine mkalale subirini mwakani
 
1682629979178.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom