Total shutdown MOI hakuna huduma

Total shutdown MOI hakuna huduma

Mie nadhan serikali yetu kama wangekuwa na akili timam pesa za nyongeza ya mishahara kama wangekuwa wanasupport sekta ambazo zimepanda kiuchumi ilikupunguza kukua kwa gharama za bidhaa ili kuwapa hakisawa watanzania wote sio viongozi tu......
 
kaaazi kwelikweli!!!!!!!!!!!! Pinda si anajifanya kapinda? Mwache akatibu yy na Mama Tunu awe nurse wake.
 
hapo ndo mi nataka niuone u PM wa pinda??ana muda mchache sana ataanza kulia
 
Nilifikiri ungeomba uongozi wote wa juu upate ajali ili wafe tuchague viongozi wapya.
Uongozi gani? ule unaochochoea mgomo ndio nina hamu wasagike sagike wote. Tukiwapoteza wachache kwa manuafaa ya wengi kutakuwa hamna kilichoharibika!
 
Mkuu, yote hayo ya nini! Hebu fikiria endapo jamaa wakiamua kuonekana wapo kazini halafu hawafanyi kazi. Hao ffu watafanya nini? Pinda atafanya nini? Mimi naona mgomo baridi una impact kubwa kuliko kuliko kitu chochote. Wao si wataangalia daftari la mahudhurio tu.

Jana PM alisema watafutwe madaktari kutoka sehemu mbalimbali wakatibu, hivi anajua impact yake? Fikiria daktari aliyemaliza degree yake miaka kumi na zaidi iliyopita halafu hakufanya kazi hospitalini (aliwekwa pale wizarani), leo hii tuaminishwe kwamba akatibu watu, hili si bomu?! Tujiulize, kwa kipindi cha miaka kumi, tumebadili dawa za malaria mara ngapi? Au, kabla ya kuanza kutibu watapata fresher couse. Lakini pia, hivi tuna wanajeshi wangapi maMD jamani? Au labda mkuu alimanisha madaktari wa sampuli gani.

Kwa mtazamo wangu, naona kuna mabaya zaidi yanafuata.......

Mkuu umenikumbusha. Hivi yule doc feki aliyekuwa akipiga madili yake hapo muhimbili walimpeleka wapi?muda mwafaka huu arudishwe kijiweni kwake
 
Kamba hii lazima Pinda aimeze, JK???????????????
 
Uongozi gani? ule unaochochoea mgomo ndio nina hamu wasagike sagike wote. Tukiwapoteza wachache kwa manuafaa ya wengi kutakuwa hamna kilichoharibika!

Hasagiki mtu,kila mtu sasa ni mjaja, hakuna tena ndio mzee.
 
Mkuu, yote hayo ya nini! Hebu fikiria endapo jamaa wakiamua kuonekana wapo kazini halafu hawafanyi kazi. Hao ffu watafanya nini? Pinda atafanya nini? Mimi naona mgomo baridi una impact kubwa kuliko kuliko kitu chochote. Wao si wataangalia daftari la mahudhurio tu.

Jana PM alisema watafutwe madaktari kutoka sehemu mbalimbali wakatibu, hivi anajua impact yake? Fikiria daktari aliyemaliza degree yake miaka kumi na zaidi iliyopita halafu hakufanya kazi hospitalini (aliwekwa pale wizarani), leo hii tuaminishwe kwamba akatibu watu, hili si bomu?! Tujiulize, kwa kipindi cha miaka kumi, tumebadili dawa za malaria mara ngapi? Au, kabla ya kuanza kutibu watapata fresher couse. Lakini pia, hivi tuna wanajeshi wangapi maMD jamani? Au labda mkuu alimanisha madaktari wa sampuli gani.

Kwa mtazamo wangu, naona kuna mabaya zaidi yanafuata.......
Aisee,
Katika maeneo ambayo mambo hubadilika kwa haraka sana ni kwenye tiba!
Sasa hivi Muhimbili idara nyingi zinatumia mashine katika diagnosis ya magonjwa mbalimbali, ambapo vibabu hao wanaotegemewa kama silaha ya msaada, chombo wanachokijua zaidi ni stetoskopu, tofauti na hiyo basi ni palpation method ... hii si itakuwa janga No 2?...huh!

Tutarudi kwenye upimaji kama huu kwenye picha hii hapa chini!

uganga.jpg
 
na marubani nao wagome kusiwe na safari za india kwa viongozi,
 
JackBauer taratibu....kuna m'bibi mmoja humu JF ataanza hedhi sasa hivi wakati ni post-menopause tangu loongi!
good one riwa,

pinda thought drs. Nu kama madiwani
 
Wakomae tuu hii serkali sio sikivu iko bize na issue zisizo za msingi!
Waalimu na nyie anzeni kutia maji this time no turning back mpaka kieleweke!
 
vERY GOOD HAPO NDO PENYEWE MPAKA SERIKALI

ITAKAPO WASIKILIZA SIO KUTUMIA MABAVU FFU

Pumbavu wewe,kama Mama yako angekuwa amelazwa,then madaktari wagome ungefurahii...Pimbi wewe,Serikari imekubali kukaa chini na kuongea nao,mwisho wa siku hawaji kutoa hoja zao,wanabaki kulia na Miti,hiyo ni akili au Ugolo...Usishabikie kitu cha Kipumbavu wewe..
 
Attachments

  • Nas.jpg
    Nas.jpg
    9.4 KB · Views: 32
Busara hapa ni muhimu, nina mashaka na maamuzi ya PM hasa kushambulia kwa wazi mtu binafsi na kuhama kutoka kwenye hoja ya msingi. Kama anazikubali hoja nyingi, angekuja na majibu kuwa mmeomba hivi sie tutaongea kiasi hiki kwa kuwa tunahitaji muda zaidi wa kujipanga. Namkumbuka Katibu Mkuu wa TUCTA aliposema, "anayetujali atakula pilau yetu." sasa malipo yeke ni ushuzi mtupu kwa mpishi
 
Pumbavu wewe,kama Mama yako angekuwa amelazwa,then madaktari wagome ungefurahii...Pimbi wewe,Serikari imekubali kukaa chini na kuongea nao,mwisho wa siku hawaji kutoa hoja zao,wanabaki kulia na Miti,hiyo ni akili au Ugolo...Usishabikie kitu cha Kipumbavu wewe..
acha upumbavu wewe kama wapinda kwani haya mambo yametokea kama mafuliko au kimbunga, kwanini mlishindwa kuchukua tahadhali MNATAKA MUONEWE HURUMA PUMBAVU MAGAMBA NINYI!
 
Back
Top Bottom