Total shutdown MOI hakuna huduma

Total shutdown MOI hakuna huduma

Pumbavu wewe,kama Mama yako angekuwa amelazwa,then madaktari wagome ungefurahii...Pimbi wewe,Serikari imekubali kukaa chini na kuongea nao,mwisho wa siku hawaji kutoa hoja zao,wanabaki kulia na Miti,hiyo ni akili au Ugolo...Usishabikie kitu cha Kipumbavu wewe..
hambao ndipo tunaposhindwa kupandanua madai ya madaktari na siasa!

Unajua kama huyo dokta anayemtibu mama (on red) akiwa amelela na njaa anaweza kumuua badala ya kumtibu!?

Kama kweli una akili kama za madokta hao wanaogoma, hebu fuatilia hiki kisa hapa:
A doctor entered the hospital in hurry after being called in for an urgent surgery.
He answered the call asap, changed his clothes & went directly to the surgery block.
He found the boy's father pacing in the hall waiting for the doctor.

On seeing him, the dad yelled:

"Why did U take all this time to come? Don't U know that my son's life

is in danger? Don't U have any sense of responsibility?"

The doctor smiled & said:
"I am sorry, I wasn't in the hospital & I came as fast as I could
after receiving the call...... And now, I wish you'd calm down so that
I can do my work"
"Calm down?! What if your son was in this room right now, would U calm
down? If your own son dies now what will U do??" said the father angrily
The doctor smiled again & replied: "I will say what Job said in the
Holy Bible! "From dust we came & to dust we return, blessed be the name of God".“Doctors cannot prolong lives. Go and intercede for your son, we will do our best by God's grace"
"Giving advises when we're not concerned is so easy" Murmured the father.
The surgery took some hours after which the doctor went out happy,
"Thank goodness! your son is saved!"
And without waiting for the father's reply he carried on his way
running. "If U have any question, ask the nurse!!"
"Why is he so arrogant? He couldn't wait some minutes so that I ask
about my son's state" Commented the father when seeing the nurse
minutes after the doctor left.
The nurse answered, tears coming down her face: "His son died

yesterday in a road accident, he was in the burial when we called him
for your son's surgery.
And now that he saved your son's life, he left running to finish his
son's burial."
Moral-"Never judge anyone..... because U never know how their life is & what they're going through"
 
Haya ndio matokeo ya serikali inayotumia masaburi kufikiria!
 
Uongozi gani? ule unaochochoea mgomo ndio nina hamu wasagike sagike wote. Tukiwapoteza wachache kwa manuafaa ya wengi kutakuwa hamna kilichoharibika!

huko state kuna wazee wa National security agency,CIA,us secret service wana tbia ya kumtake mtu out of circulation pindi akiwa threat to national security nadhani hata hapa style hii inafaa hasa kwa watu kama kina steve ambao hatujui agenda yao hasa nini
 
Mkuu, yote hayo ya nini! Hebu fikiria endapo jamaa wakiamua kuonekana wapo kazini halafu hawafanyi kazi. Hao ffu watafanya nini? Pinda atafanya nini? Mimi naona mgomo baridi una impact kubwa kuliko kuliko kitu chochote. Wao si wataangalia daftari la mahudhurio tu.

Jana PM alisema watafutwe madaktari kutoka sehemu mbalimbali wakatibu, hivi anajua impact yake? Fikiria daktari aliyemaliza degree yake miaka kumi na zaidi iliyopita halafu hakufanya kazi hospitalini (aliwekwa pale wizarani), leo hii tuaminishwe kwamba akatibu watu, hili si bomu?! Tujiulize, kwa kipindi cha miaka kumi, tumebadili dawa za malaria mara ngapi? Au, kabla ya kuanza kutibu watapata fresher couse. Lakini pia, hivi tuna wanajeshi wangapi maMD jamani? Au labda mkuu alimanisha madaktari wa sampuli gani.

Kwa mtazamo wangu, naona kuna mabaya zaidi yanafuata.......
wenzio hata ma-co yaani clinical officers are doctors na ndio wengi na wanatambulika hivyo,wengine ni ma AMO wote hao ni ma-drs kwa mtizamo wa kina PM na jopo lake hata wanasiasa wengi wanajua hivyo.ila all in all ngoja tuone ubabe kwenye taaluma ya mtu,wakirudi bila madai yao kutekelezwa nitajua wamekarii paracetamol tu na mengineyo.maana wasomi hawa inatakiwa wawe chachu ya ukombozi wa kifkra na hata kulikomboa taifa hili kwa ujumla.
 
Gharika tz hilooo tutaangamia wote ee mola tusaidie!!
 
Mie nadhan serikali yetu kama wangekuwa na akili timam pesa za nyongeza ya mishahara kama wangekuwa wanasupport sekta ambazo zimepanda kiuchumi ilikupunguza kukua kwa gharama za bidhaa ili kuwapa hakisawa watanzania wote sio viongozi tu......
Watanzania tujiandae historia ya Afrika ya Migogoro,vita na Matumizi mabaya ya Madaraka na raslimali safari hii hatutaikwepa labda kutokee miujiza ya kutuepusha na balaa la Viongozi na wanasiasa walioko madarakani kwa sasa.Tatizo la mgomo wa madaktari kwangu naliona ni kubwa hasa nikizingatia viwango vya utoaji wa huduma hiyo hata kabla ya mgomo huu.
Mheshimiwa Pinda mimi binafsi nilikuwa nina kuona kama ni wewe tu kimbilio la Masikini wa Taifa hili lakini busara yako uliotumia jana kuelezea suluhu ya mgomo huu imenifanya niwe mbali nawe.Pinda elewa kinachogomba hapa ni mgawanyo usio halali wa pata la nchi.Duniani kote watu wanalipwa kulingana na tija za kazi zao ni si kutoa malipo kwa wanasiasa na watu wengine wasio na tija katika kuendeleza Taifa.Pinda ukitaka matatizo yahishe achana na kutoa rushwa kwa wanasiasa ili wasihisimamie serikali.
 
Serikali imezoea kuwatishia walimu kugoma,kumbe wamegoma zamani bado tu kufanya kama madaktari.Madaktari wakigoma impact inaoneka haraka.Kenya madaktari waligoma na walisikilizwa na sasa wapo kazini.Huu ndo mwisho wa chama Kibovu.Madaktari ionesheni Serikali kuwa maisha magumu si DODOMA tu.Tena huyo PINDA alitetea posho akidai wanaombwa ombwa.GOOOOD doctors.
 
Naomba Mungu upate ajali sasa hivi au hata ndugu yako....
Siyo kila kitu ni cha kushabikia!!!

Ataenda Agha Khan, au Hindu Mandal, au Regency, au TMJ au Mikocheni n.k
 
uongozi ni busara, uongozi ni maono, uongozi ni upevu wa fikra, uongozi ni maono, uongozi kamwe hauwezi kuwa nguvu!ffu, police mnajisikiaje kutumika kama remote!hamuwazi, hamfikirii, hampambanui!ama kweli igeni wenzenu wa misri, yemen na tunisia

Askali wetu hakuna siku watakayokuja kufanyakazi kwa kutumia akili ...
They don't reason!! Why? Because they are trained to obey orders as they come ..!

Nyie askali mnaishi nchi ya wapi ambayo hamuone hali halisi ikoje? Inamaana nyie mnalipwa vizuri?
 
leo tutaambiwa madaktari wa jeshi wamepelekwa muhimbili lakini ni bahati mbaya sana kwamba ''madakta'' hawa hawana ujuzi wa kutibu cases zinazofika muhimbili orthopedic institute.
 
Back
Top Bottom