Toshiba Display to Dell | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Toshiba Display to Dell

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Nyasiro, Sep 22, 2012.

 1. N

  Nyasiro Verified User

  #1
  Sep 22, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 1,286
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Nnalaptop moja ya Dell ambayo imekufa display yake yani nusu inaonesha na nusu nyigine ni giza nataka niireplace kwa display ya Toshiba ambayo nayo imekufa touch pad, betri na makorokoro mengine. Je hii inawezekana?
   
 2. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #2
  Sep 22, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  Kubadilisha kioo inawezekana ila viwe vinawiana "pin-out" pia kama hiyo nyingine ilikuwa touch nadhani ni model itakuwa ni tofauti isipokuwa unaweza kufungua ili kulinganisha.
   
 3. N

  Nyasiro Verified User

  #3
  Sep 22, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 1,286
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Ok. Hapo kwenye red unamaanisha nini?
   
 4. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #4
  Sep 22, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  hapo nadhani nilikupata vibaya maana mimi nilidhani
  [​IMG]
  kumbe wewe ulimaanisha hii

  [​IMG]
   
 5. N

  Nyasiro Verified User

  #5
  Sep 22, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 1,286
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145

  hapo tumeelewana mkuu
   
 6. N

  Nyasiro Verified User

  #6
  Sep 23, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 1,286
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Never give up nime give up baada ya kukuta video cable haziendani
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #7
  Sep 24, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  Ukifungua kioo kwa nyuma karibia juu kabisa kuna sehemu ya kuchomoa na cable yake ni nyembamba kama film, ukifanya hivyo unaweza kufanikiwa maana machine nyingi ukitaka kulinganisha upande unaoingia ktk mainboard huwa hazifanani.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. N

  Nyasiro Verified User

  #8
  Sep 24, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 1,286
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  nimekuta cable kama hizi

  KD101.jpg

  sasa hiyo ya kwenye dell ni pana af pale kwenye kioo cha toshiba sio pana haifit au inawezekana kuhamisha kioo pamoja na cable zake?
   
 9. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #9
  Sep 24, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  hapo ndio ndipo display nyingi zinapoingiliana, wengi wao wameweka standard moja. Mimi computer yangu ni dell lakini ndani kioo ni samsung.

  Hapa.jpg
   
Loading...