wilcoxon
JF-Expert Member
- Jun 25, 2017
- 1,271
- 3,395
Trigonometry mkuu ile topic ni simple sanaAdvanced level Trigonometry. Na najua hapa siko mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Trigonometry mkuu ile topic ni simple sanaAdvanced level Trigonometry. Na najua hapa siko mwenyewe
Nimecheka sanakwa jinsi nlivokuwa naichukia math sikumbuki hata topic zilikuwa zinaitwaje...
sio kwel mkuu.. Nakataa kwa shuhuda halisiaM2 akisema tu alkua hapend logarithm jua n f ya 4m4
akjitaid xana n csio kwel mkuu.. Nakataa kwa shuhuda halisia
Unaenda na ID yako.
tupo pamoja mkuu ..🤝CIRCLE....hii topic nilikuwa hata siilewi.
Du!!!!! Inaonesha kbxa uliopoa f moja matata ya mathkwa jinsi nlivokuwa naichukia math sikumbuki hata topic zilikuwa zinaitwaje...
Wala ckuhangaika nayo nilivyoona formular zimekuwa nyngi nikapga chini na hta necta ilivyokuja ckujisumbua kulisoma hlo swali ingawa kipengele b kilitaka determinants of national income ila ckufnyaKwa wale waliosoma economics hlf calculation za National income zikawa zinakuzingua sana kama mimi, tupia koment tujuane.
Topic nyepec sana hyo mkuuMimi zilinizingua kwenye public finance
Nacional Income baba yao huwez linganisha na hvyo vdudumkuu public finance mteremko kinoma ishu ni kwenye price index, elasticity of dd, national income etc