Topic gani Hisabati iliyokuwa inakushinda (O-level/A-level)?

Topic gani Hisabati iliyokuwa inakushinda (O-level/A-level)?

Advance Kuna kitu inaitwa probability like li topic mpk namaliza advance sijawahi kulimatser
 
Msema ukweli mpenzi wa Mungu. O level hesabu nilizokuwa naweza ni

Repeating decimal
Simultaneous equation
Quadratic equation
Statistics
Arithmetic progression nilikuwa naotea nashangaa nimepatia [emoji3][emoji3]
Function nilikuwa naotea one to one function[emoji85]
Kwenye mtihani wa form four nilijiwekea swali la statistics lazima nikombe marks zote kumi ( nadhani ilitokea hivyo), repeating decimal ilikuwa haikosi nilikuwa na uhakika wa kupata marks 3, zingine nikaokoteza kwingine. Inshallah nikapata D yangu niliyokuwa naitafuta [emoji13][emoji13]
👏👏 hongera mkuu ulikwepa penalty ya baraza
 
Nawakumbuka wanang wa pure advance hiyo hutaona test zao wala max zao maana unaweza kuta jamaa kakosa zote pepa inasoma ziro au kapata namba ya kiatu makaratas yao wanaweka chin ya godoro huwez kuta zinazagaa ovyo na wanakesha kusolve yaan hisabat kipaj sana kila ukikaa kujua unafel wp hupat jibu na mapind unahudhuria na unaenda kukaa front bench unawakwepa wahun waback bench wasikutoe ktk uwepo
 
Msema ukweli mpenzi wa Mungu. O level hesabu nilizokuwa naweza ni

Repeating decimal
Simultaneous equation
Quadratic equation
Statistics
Arithmetic progression nilikuwa naotea nashangaa nimepatia [emoji3][emoji3]
Function nilikuwa naotea one to one function[emoji85]
Kwenye mtihani wa form four nilijiwekea swali la statistics lazima nikombe marks zote kumi ( nadhani ilitokea hivyo), repeating decimal ilikuwa haikosi nilikuwa na uhakika wa kupata marks 3, zingine nikaokoteza kwingine. Inshallah nikapata D yangu niliyokuwa naitafuta [emoji13][emoji13]
Hahah

Dah ulkua unajua sana

Mi nlkua sijui kitu ! [emoji28]
 
Topic ninayoipenda mpaka leo nimeifurahia O’level na Advance ni LINEAR PROGRAMMING..
 
Manina kuna probability,matrix,trig yaan hazieleweki au sijui kwa sababu ya uvivu wa kutosovusovu
 
Manina kuna probability,matrix,trig yaan hazieleweki au sijui kwa sababu ya uvivu wa kutosovusovu
Ila maisha yanatofautiana.hizo topics zote kwangu zilikua uji,tena hiyo probability nimebahatika kuisoma hadi chuo kikuu kama somo linalojitegemea.
Sasa wewe mkuu topics gani ulizokua unaziweza kama hizo rahisi tu zilikutoa jasho?
 
Kwa wale waliosoma economics hlf calculation za National income zikawa zinakuzingua sana kama mimi, tupia koment tujuane.
Mkuu,umesoma Economics kwa level gani?
Maana ukizungumzia masomo magumu kwenye Economics kuna kitu kinaitwa Econometrics chuo kikuu.hiyo kitu ni hatari sana aisee.
 
Mkuu,umesoma Economics kwa level gani?
Maana ukizungumzia masomo magumu kwenye Economics kuna kitu kinaitwa Econometrics chuo kikuu.hiyo kitu ni hatari sana aisee.
Mwambie huyo, naomb tuwasliane mkuu,naisoma iyo uchumi,nitumie material ya econometrics (0743860021)wasap
 
Back
Top Bottom