Kibishi
JF-Expert Member
- Nov 17, 2013
- 1,139
- 1,040
Salaam,
Likizungumzwa na somo la hisabati kwa shule za sekondari,kila mtu anakumbuka mbali.Kuna wale waliokuwa hawaliwezi kabisa yaani topics zote kitendawili.Wengine walikuwa wanaliweza sana ila baadhi ya topics zinawashinda, huenda mbeleni wakaziweza au mpaka leo hawajaziweza.
Mimi binafsi topic iliyonihangaisha ni PRINCIPLE OF COUNTING TECHNIQUES,humo ndani utapata PERMUTATIONS and COMBINATIONS na PROBABILITY.Ilikuwa kazi kweli kweli kwani ugumu wa topic hii:
1:Haina kanuni maalum
2:Ina njia nyingi
3:Ukiingiza kanuni zinagoma
4:Ni zaidi ya chemsha bongo
5:Inahitaji utulivu na kufikiria zaidi
6:Mafumbo yake tu yanakatisha tamaa
7:Lazima ujue vitu vingi.
Je,wewe topic gani ilikuwa inakushinda?