Top universities in Tanzania 2018

Sio kila source ni ya kuamini hata wewe pia unaweza kukaa ukafikiria mambo yenye ukweli/uongo ukaandika mtandaoni source ukawa wewe na watu wakakutumia wewe kama reference.
Weka sosi yako wewe
 
Hizo rank zinasaidia nini ajira?!chuo cha kwanza na cha mwisho tofauti zake zipi ikiwa vyote hutoa degree zinazotambulika ndani ya mipaka ya Tanzania?!
MD wa udsm na MD wa imtu tofauti zao zipi?!
 
Ungesema wametumia vigezo gani ungekua umetumia akili!! Kigezo walichotumia hata teku wanashika namba moja...
 
Hiyo United African University of Tanzania ndio kwanza naisikia leo iko wapi hapo Dar ?
 
Sio kila source ni ya kuamini hata wewe pia unaweza kukaa ukafikiria mambo yenye ukweli/uongo ukaandika mtandaoni source ukawa wewe na watu wakakutumia wewe kama reference.
Hebu na wewe kwa mfano weka yako, ili tuamini inawezekana....
 
sawa
 
Wanaolalamika Udom kuwa juu ya Sua, je malalamiko hayo ni kwa sababu wamezoea kuwaona Sua nafasi ya pili au kuna sababu nyingine?
Ukipata jibu nistue mkuu, naona watu wanakichukulia poa sana udom
 
Itabidi iongezwe

University of ifm

University of cbe

University of Tia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…