Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 15,327
- 24,209
Haswaaa!Jidulamabambasi Jidu La Mabambasi sio ndugu yako?
Haswaaa!Jidulamabambasi Jidu La Mabambasi sio ndugu yako?
Gogomoka alipata Division Zero pale Minaki Secondary2. Gogomoka Msalaba ni classmate wa Waziri Jeff.
Ninamfahamu, alikuwa jamaa flani tafu bila shaka alikuwa Msukuma
Siwezi kushangaa, alikuwa jamaa wa miguvu zaidiGogomoka alipata Division Zero pale Minaki Secondary
Jina lako maana yake nini mkuuHaswaaa!
Ukiniuliza hata mimi sijui, ngoja nirudi Gamboshi nimuulize mzee wa busara.Jina lako maana yake nini mkuu
Mwalimu Libaba PM , alipenda kutoa mfano wa zero iliyoandaliwaSiwezi kushangaa, alikuwa jamaa wa miguvu zaidi
Hivi Libaba bado yupo hai?Mwalimu Libaba PM , alipenda kutoa mfano wa zero iliyoandaliwa
Sawa mkuuUkiniuliza hata mimi sijui, ngoja nirudi Gamboshi nimuulize mzee wa busara.
P. M Libaba aliishafariki miaka 4 au 5 iliyopita .Hivi Libaba bado yupo hai?
Mzee mkulima wa pasheni na mboga mboga