kaka hayo mambo ya zamani sasa hivi nguzo ya qualcom ni uzakishaji wa chip za simu na tablet.
tutumie source za juzi wakati wanatangaza mapato yao ya 4q (mwaka wa kifedha) ni chip ndio zilicontribute asilimia kubwa ya mapato. hivyo hapa tunaweza kusema source yetu ya hela ndiko tunapopata wapinzani ambayo pia unaweza ukaitafairi kama watu wanaotengeneza chip kama zetu ndo competititor wetu.
soma hapa in detail kuhusu report ya juzi ya mapato ya qualcom
Higher chip shipments boost Qualcomm 4Q profit - NZ Herald