Fid Q anamiliki nini wakati anaishi nyumba ya kupanga? AY ni international kweli lakini hebu tuambie anamiliki nini au ameajiri watu wangapi? Prof J hana kitu ila ana za bia tu, Diamond anapata pesa nyingi kwenye show zake lakini hajawekeza zaidi ya kununua wanawake/warembo. Nasikia ana duka la nguo huko sinza anakoishi kwenye nyumba ya kupanga lakini haitoshi kusema kuwa ni tajiri japo nakubali dogo ni mpiganaji. NAMKUBALI JIDE kwani anamiliki bendi yake, club yake ya nyumbani lounge, ana bangalows zisizopungua tatu mojawapo naifahamu iko kinyerezi nk.