Top beauty girl in mum jf!

Faru dume

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
469
250
Mambo vipi?Wanajamvi eeh!Hv msichana ama binti mzuri kupita wote humu Jukwaani ninan?
Tupia jina lake na uzur wake!
Kwangu mimi ni Heaven on Earth uzuri wake:-anaongoza kwa kukomenti post zangu na wewe je?
 
Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,267
2,000
Unazungumzia avatar fake au?

Hivi huyo uliemtaja hapo unamjua kweli wewe?
 
Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,267
2,000
angalia line yangu ya pili mwisho.

Still fake

Hivi hujui kuwa maisha ya MMU ni ya kuigiza?
Unataka tutoe maamuzi kwa muktadha wa maigizo?

Halafu unasemaje uzuri bila kusema ni uzuri gani?
Na kama ni uzuri huo unaodai kusema hapo mbina umetaja wasichana tu

Wanawake je?
Wanaume je?

Halafu unajuaje kuwa fulani ni mwanamke au msichana?
 
Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,706
2,000
Mambo vipi?Wanajamvi eeh!Hv msichana ama binti mzuri kupita wote humu Jukwaani ninan?
Tupia jina lake na uzur wake!
Kwangu mimi ni Heaven on Earth uzuri wake:-anaongoza kwa kukomenti post zangu na wewe je?

kama kigezo ni sura basi umeliwa,maana wengine sura za kike kumbe midume tu.
 
Faru dume

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
469
250
Nipe tofauti kati ya kujua na kufahamu

Yap namjua una kingine?

1.kujua-maana fupi ni kumjua mtu kiundani.
2.Kufahamu-kumfahamu mtu si kiundani either unamfahamu kwa jina tu au kwa kumuona tu mtaani pasipo kumjua kiundani.
Mimi ninavyoelewa BROS
 
Broken soul

JF-Expert Member
Oct 24, 2013
459
0
Still fake

Hivi hujui kuwa maisha ya MMU ni ya kuigiza?
Unataka tutoe maamuzi kwa muktadha wa maigizo?

Halafu unasemaje uzuri bila kusema ni uzuri gani?
Na kama ni uzuri huo unaodai kusema hapo mbina umetaja wasichana tu

Wanawake je?
Wanaume je?

Halafu unajuaje kuwa fulani ni mwanamke au msichana?Waswahili na kiswahili chao!
 
Mapi

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
6,853
1,250
Still fake

Hivi hujui kuwa maisha ya MMU ni ya kuigiza?
Unataka tutoe maamuzi kwa muktadha wa maigizo?

Halafu unasemaje uzuri bila kusema ni uzuri gani?
Na kama ni uzuri huo unaodai kusema hapo mbina umetaja wasichana tu

Wanawake je?
Wanaume je?

Halafu unajuaje kuwa fulani ni mwanamke au msichana?

JF kuna manabii sikuhizi mkuu,
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom