Top Al-Shabab commander Confirmed dead

Top Al-Shabab commander Confirmed dead

Status
Not open for further replies.
kwa alshabab au vikundi vinavyo sukumwa na imani za kidini, haijalishi amri ya kufanya ugaidi inatoka kwa nani.hapo ni sawa na mmoja anakufa mmoja anazaliwa.

Nakubaliana na wewe kabisa...ni vigumu na siyo rahisi kuvimaliza vikundi hivi.
 
Mimi Sipiganii JIHAD. kama imekuuma kajiunge nao.

wenzako wapo uwanja wa vita wewe nyuma ya keyboard!!!!!

Kushupalia na kutetea waliosambalatisha waislam na uislam wa Taifa la Somalia ni ugonjwa pia.

Iliyokuuma ni wewe na hao walioenda kumpiga kombora Kamanda Godane. Wao wana uchungu gani na Somalia mpaka wangaike usiku na mchana. Bill Clinton yeye alioeleka jeshi kabisa, likakutana na Mohamed Farah Aideed. Kilichowapata ni kuondoka bila kuaga.
 
Mkirindi
Unaamini hichi unachokisema au tunafurahishana tu? Mie nafikiri hili tatizo haliwezi kwisha kwa njia za mapigano kama haya tunayoyashuhudia kila kukicha. Lazima watu wakae mezani kumaliza matatizo haya.
 
Last edited by a moderator:
[h=5][/h]


The leader of the Islamic militant organization behind the slaughter at a Kenya mall last year was killed during a U.S. military strike earlier this week, U.S. officials confirmed to Fox News Friday.

Ahmed Abdi Godane — the leader of al Shabab – was killed during an airstrike Monday that also claimed the lives of 10 other militants.

“Godane's removal is a major symbolic and operational loss to the largest Al Qaeda affiliate in Africa and reflects years of painstaking work by our intelligence, military and law enforcement professionals,” the White House said in a written statement.

Pentagon Press Secretary John Kirby echoed the statement.

“The U.S. military undertook operations against Godane on Sept. 1, which led to his death,” he said in a statement. “Removing Godane from the battlefield is a major symbolic and operational loss to al-Shabaab.”

Earlier this week, senior officials said the drone targeted Godane as he left a meeting of the group’s top leaders. The official told The Associated Press that intelligence indicated Godane was likely killed in the attack.


Al Shabab claimed responsibility for last September's Westgate Mall shooting that left 68 dead and another 200 injured. - FOXNews.com
 
Osama is dead but still taliban is a threat. Sadam has gone İraq is still boiling, How many taliban and alshabab leaders have been killed while the groups still prevail??? So this is just the start of the game. Its impact is insiginificance

I can call you a great thinker
 
Wamemuua msimali tu...na muislam..
Hao alshabab wao wenyewe...
 
Katibu wa Pentagon Nchini Rear Admiral John Kirby ametangaza kuwa Ahmed Godane ameuawa katika oparesheni iliyofanywa nchini Somalia Jumatatu wiki hii.
Kwa Mujibu wa Admiral Kirby, kuuawa kwa Godane ni pigo kubwa zaidi kwa kundi hilo la Al shabaab na itasaidia kukabiliana na ugaidi unaofanywa na kundi hilo eneo la Afrika Mashariki.

Marekani imekuwa ikishirikiana na washirika wake wakuu kukabili wapiganaji hao wa AL shabaab ambapo katika miaka ya hivi karibuni wamezidisha mashambulio sio tu nchini Somalia bali hadi nchi jirani.

Wiki iliyopita Kikosi cha kulinda amani chini ya mwavuli wa Muungano wa Afrika AMISOM kikishirikiana na majeshi ya serikali ya Somalia kilianzisha oparesheni kali kuwasaka wapiganaji hao wa AL shabaab. Na kufikia mwanzoni mwa wiki hii Marekani ikajiunga katika oparesheni hiyo ambapo walishambulia msafara ambao Ahmed Godane alishukiwa kuwa ndani.

Walioshuhudia waliambia BBC kuwa muda mfupi baada ya msafara huo kushambuliwa, ndege za kivita za helikopta zinazoaminiwa kuwa za Marekani zilishuka na kubeba maiti zote zilizo kuwepo. Kwa hiyo kwa muda hakukuwa na thibitisho lolote iwapo Godane mwenyewe aliuawa au la.
Upande wa AL shabaab nao walianza kukusanya watu katika kijiji karibu na eneo hilo la Shebeele ambako shambulio lilifanywa na kuwaua au kuwateka wengijne ambao hadi sasa hawajulikani waliko.

AL shabaab hawakuzungumzia iwapo Godane alikuwa miongoni mwa waliouawa.
Leo asubuhi kulikuwa na picha zilizo sambazwa katika mtandao ambazo hazikuthibitishwa zilizodai kuwa ni Ahmed Godane bado alikuwa hai.
Al shabaab hawajasema lolote baada ya tangazo la Pentagon kuthibitisha kifo cha Godane

BBC
kahtaan na FaizaFoxy watatupatia uthibitisho! i am sure they know something!
 
I will accept your comments if you can realy give me just a single example where by they have been used to eradicated terrorism. Can you do me a fever pls. They are only lethal to poor citizens who have been butchered all over the world eg afghanistan,pakistan,somalia,iraq to mention a few. The lethal combination failed to settle Josef Kony's problem who has about 2000 fighters,Boko haram with few fighters if they really exist.

Drones and intelligence make a lethal combination.
 
Marekani anadungua watu kwa Drones tu siku hizi. Saafi sana, awadungue na wale Boko Haramu washenzi sana wale.
 
Jamaa wanawasubiria Wakianza kuswali wanatumia drone attacks kaboooomkbar...
 
Nyie mnaotukana dini za watu hapa acheni kabisa maana mnaonekana uislam hamuujui kabisa zaidi ya kusoma habari za propaganda dhidi ya uislam,hawa wote wanaojiita wapiganaji wa kuulinda uislam wote ni makafiri kama mlivyo wengi wenu hapa,hakuna sehemu yoyote ile ndani ya holy quraan inayoelekeza kumuuwa qaffir (nyie)au kwalazimisheni muikubali dini ya haki na kweli ya mwenyezi mungu.Nyie endeleeni na qufru zenu na endeleeni kula nguruwe zenu lakini mtuachie nasisi waislam wa kawaida nasi tupumue na kuwa huru katika dunia hii.Narudia tena hawa wapiganaji sio waislam na labda hizo ni njama zenu mmezitengeneza wenyewe ili muweze kuwatesa waislam wote wa kawaida.Wote hao akina Alshabab,Boko haram ,Alqaeda na watoto wao wapya isis mimi nawaita ni mushriq na ahlul bidaa wazushi watupu na hell fire inawasubiri huko mbele.M/Mpamba end.
 
Ahmed Abdi Godane top leader of Al-Shabab confirmed by Pentagon tha he was killed in airstrike byUS war plane.
GOOD NEWS TO HEAR-ATLEST FOR NOW,hope the so called 70 virgins wont be enough for him-may his soul meet his damned mate in inferno
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom