Top 7 bombers in the World

Ht mpk Leo hakuna nchi iliyowah peleka mtu mwezini zaid ya US.
 
Hiyo ndege ya 2.1 bilion USD haikatizi ikipita kwa s400 defense system
 
Kama vita gani mkuu, Hebu fafanua...
 
Ht mpk Leo hakuna nchi iliyowah peleka mtu mwezini zaid ya US.
Ila sii hoja ya kuonesha umahiri wa USA maana Russia wamewahi kufanya soft landing na hard landing pamoja na kupeleka viumbe tofauti na ndo wenye kuwapeleka USA in space nowadays hadi 2020.
 
Ila sii hoja ya kuonesha umahiri wa USA maana Russia wamewahi kufanya soft landing na hard landing pamoja na kupeleka viumbe tofauti na ndo wenye kuwapeleka USA in space nowadays hadi 2020.
Km hyo sio hoja, bhas pia hata hzo soft&hard landing nazo sio hoja.
 
Mkuu ze kokuyo asante kwa tag si unajua jukwaa la siasa limetuteka ok mm labda nikijite kwenye tofauti kati ya hzi ndege pendwa katika uwanja wa mapambano ambazo ni Jet fighter na Bombers kwani watu wengi wamekuwa wakishindwa kutofautisha matumizi ya mindege hii miwili kwanza Bombers mara nying zinatumiwa kwenye missions za mbali na missions kubwa kubwa kwani zinauwezo wa kwenda umbali mrefu bila ya kuweka mafuta na kama itaitajika kuongeza mafuta wanaweza kuongezea juu kwa juu bila ya ndege kutua uwanjani kama ambavyo jet nying zinafanya au ndege nying zinavyofanya

Bombers ni kama truck katika ndege za kijeshi kwani zinakuwa na uwezo wa kubeba idadi kubwa ya mabomu si makombora ndege hzi hazina speed kubwa kama ya jet yani super sonic speed pia hazina mbwembwe (maneurvable) pia mara nying bomber hutumika kulipua target zilizo chini pia si Dog fight pia mabomu yake yanakuwa hayana PGM yani( precision guided manition) au kwa jina lingine ni smart bombs

Jet hz ni kama baskeli za mashidano katika ndege za kijeshi kwanza zina speed kubwa ya sauti yani super sonic speed zinabeba mabomu machache lakini yenye weledi mkubwa yani smart bombs zenye mfumo wa PGM kumbuka aiwezi kuitwa smart bombs mpaka mfumo huu uwepo na ndege hz zina mbwembwe sana na target yake inapiga 360 degrees yani yana uwezo wa kupiga angani,majini,aridhini kutokana na mfumo huu wa PGM lakini leo ukiwauliza marubani wa kijeshi kumi nane watakwambia wanapenda kuendesha bombers kuliko jet kwani jet ina hatari zaidi ktk uwanja wa kivita kuliko bombers
Sasa bhasi kutokana na technology ilivyokuwa inaongezeka ikaja ndege nyenye vitu vyote vinavyopatikana kwa jet na bombers yani 5 generation military jet inajulikana kama stealth multirole fighters ambayo ni B2 sprit
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…