Top 5 ya urais 2015

Sharti nyingine awe fisadi. Vinginevyo, wawekezaji waliopo watapata shida.
 
1. Dr Slaa
2. Dr Slaa
3. Dr Slaa
4. Dr Slaa
5. Dr Slaa

Hizi panga pangua ndio tano bora za BAK

 
hicho kipengele kitafutwa kwenye katiba mpya mzee, uchaguzi ujao tunatumia katiba mpya.

Never, never, never... tukitumia katiba mpya uchaguzi ujao nitakutafuta nikupe buku...
 
wa kwanza arudi kanisani kapora mke wamtu.akiwa rais atapora wengi zaidi,magufuli jazba,lowasa hata babayenu nyerere hamtaki mpaka kamwandikia kitabu yeye na malechela pia kasaini MOAKWA MANUFAA YA KANISA NA NCHI HII NIA YA WOTE.mbowe jazba siasa za ukabila,lisu jazba akiamua tuivamie nchi yoyote atavamia.hatutaki wote hawafai.
 
tatizo ni mgonjwa yule baba, muombee tu labda apone! ila kwa afya yake, ni ngumu kushika dola!
 
karibu jamvini! punguza jazba!
 
kuliko kutawaliwa na huyo, ni bora kukaa bila RAIS! period!
 

Kwasasa hili siyo swala la msingi na kama ikilazimia Dr.Slaa bado anafaa.
 



6. Ridhiwan Kikwete
 
hapo kwenye red, sharti mojawapo la katiba ya nchi ni kuwa na angalau degree moja.

weka na ibara tuione,usije kuwa unasema tu katiba kwa kuwa umekaririshwa kuwa kila jambo litafanyika kikatiba,tuwekee ibara na sisi tuipitie mkuu.
 
tundu lisu na mbowe hawana uwezo wa kuongoza nchi kama hii
nchi kama hii inahitaji watu kama
1.DR.MAGUFULI
2.DR.MWAKYEMBE
3.COMRADE EDWARD LOWASSA
4.ZITTO KABWE
5.JANUARY MAKAMBA
6.SAMUEL SITA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…