Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 10,703
- 11,809
Mmemsahau Ana Makinda kwenye hiyo list. Mie mwenzenu kila nikimwona naishiwa nguvu kwa urembo wake.
Hapa ndo nimefikia mwisho wa kufuatilia hii thread. Naona huu ni utani sasa.
Mmemsahau Ana Makinda kwenye hiyo list. Mie mwenzenu kila nikimwona naishiwa nguvu kwa urembo wake.
No 1. Kashikilia pesa kama anachanga kalata vile, sijui alikuwa anacheza na nani maana.