Kichwa Ndio Mtu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 3,079
- 1,719
'Ukimuona mtu maskini jihadhali usiwe kama yeye, na ukimuona mtu tajiri tafakari uwe kama yeye'4. Reginald Mengi - 560 million us dollars,number 44 in Africa
3. Said Salim Bakhresa - 575 million us dollars, number 43 in Africa
2. Mohammed Dewji - 800 million us dollars,number 31 in Africa(Youngest richest African among top 50 African richest people)
1. Rostam Azizi - 0ne billion us dollars,number 26 in Africa
Source: Africa Ranking.
Ranking Interesting Facts About Africa
Sorry ni kwa mwaka 2014,nimekosea title, Moderator fanyieni marekebisho.
Kati ya hao matajiri,kuna tajiri mmoja anajifanya muongeaji sana,mwaka 2013 alikua wa pili,amekalia majungu na ugomvi na wanasiasa sasa amekua wa mwisho. Wakati wenzake wanapiga kazi yeye anatweet uharo na kugombana na wanasiasa.
Mbona huwa tunaambiwa hapa JF kuwa waislamu watu wa kunywa kahawa tu = sasa naona hao watatu kati ya wane ni wao !! don't juge people or generalise
Mbona unataka kuiharibu hii thread kwa kuingiza udini wako?!Mbona huwa tunaambiwa hapa JF kuwa waislamu watu wa kunywa kahawa tu = sasa naona hao watatu kati ya wane ni wao !! don't juge people or generalise
To be the fourth richest person in TZ= To be the last owning the least amount of money in TZ?!Kati ya hao matajiri,kuna tajiri mmoja anajifanya muongeaji sana,mwaka 2013 alikua wa pili,amekalia majungu na ugomvi na wanasiasa sasa amekua wa mwisho. Wakati wenzake wanapiga kazi yeye anatweet uharo na kugombana na wanasiasa.
hiyo list ina fault
hawa je?
manji
al ushoom owner wa oilcom
shah owners wa shelyys phamacetical
menek onwner wa exim bank
Jitu Patel
Zakaria
Chande