Top 20 most famous African countries

Tz tuko nyuma sana kwa karibu kila kitu.
:_Viwanda hatuna, Siasa kandamizi, Utalii, Miundombinu, Elimu yetu si shindani etc

Sisi labda uswahili
Kweli na wapo walio nyuma yetu hao nao tatizo lao nini kwa ssbabu hawaongei kiswahili.
 
Famous wamechukulia.vigezo gan??

Rwanda kuwa juu ya tanzania

Kenya kuwa juu ya nigeria

Kama unaarufuru nadhan somalia wangekuwa namba3 al shababu kila kona imesikika
Nimeboresha maisha ya raia wangu, na uchumi unapaa kwa spidi 4g
 
Haya twambie huo umaarufu wenu umewasaidia nini maskini wengi wa kenya walio na maisha magumu kutokana na ardhi kubwa yenye rutuba kuhodhiwa na wanasiasa wachache na matajiri, huku wakisumbuliwa na tatizo sugu la ukosefu wa chakula kutokana na ukame huko kaskazini mwa kenya. Mbona mmeshindwa kuondoa makazi duni kwenye maeneo ya kibera na kwingineko, na safari hii sidhani mtapata mahindi kutoka Tanzania maana hatutakuwa na ziada ya kuwapa
 
Kenya wamekaaje juu ya Tz ....ama ni kwa sababu ya kung'ang'ania mlima Kilimanjaro?
umesahau obama anajulikana kutoka kenya..umesahau kenya's world known athletes and nairobi national park the only park in a city...umesahau the terror attacks on kenyan soil...
 
8380.jpg

SHOULD BE THE FIRST COUNTRY.
yeah egypt is world famous...
 
Huyo aliyesema officially ni officially kwake yeye.Sisi kama watanzania hatukubaliani kabisa.Aliyeleta hiyo list anapembuliwa pumba .
 
Zenji mbona haipo kwenye list?Tanganyika haiwezi kuwa chini ya Kenya bana wewe
 
Back
Top Bottom