Top 20 most famous African countries

Hehehe vipi mrembo kui , hao wanaohoji kwanini Kenya inaongoza nafikiri picha inaweza kuawapa taarifa zaidi ya maneno.

olympics714.jpg

maxresdefault.jpg

Rejea maelezo yaliyowekwa kwa kenya, " Kenya, officially the Republic of Kenya, is a country in Africa and a founding member of the East African Community.
In Kenya you will be warmly welcomed.it has a lot of tourist attractive points"

Je huyo mkimbiaji ni tourist attraction au ndio mkaribisha wageni?
 
Majinga kabisa haya manyang'au, hayana umaarufu wowote kazi kujisifia tu na kudanganya watalii kwa vivutio vya Tanzania, mfano, mlima Kilimanjaro, mbuga ya Serengeti na bonde la Olduvai kuwa vipo kenya. Vijana wa kenya wengi wanakimbilia ughaibuni kufanya vibarua kutokana na ugumu wa maisha huko kwao. Yamekalia ulimbukeni tu, ooh tunajua ongea English kuliko Tz, ngedere wakubwa..
 
Maelezo yamewekwa briefly, hawana haja ya kuorodhosha kila kitu kinachoifanya nchi kuwa na umaarufu, unafaa ufahamu nini maana ye neno 'popular', kwasababu kingereza huwa kinawapiga chenga nyie, wengine naona mnasema alshabaab wanaweza kuifanya nchi kuwa 'popular' kaangalieni kwenye dictionary maana ya hilo neno.

Japo pia utalii umeifanya Kenya kuwa na umaarufu, unaweza kuwa na vivutio vichache lakini kwa jinsi unavyojituma unaimarika na kuwa maarufu. Pia unaweza kuwa na vivutio vingi lakini ukikaa kama zombi bila kujituma unasahaulika na kuzikwa.
Nyie hapo mna kila kitu, lakini mpo mpo tu na hamfahamiki, wazembe kupitiliza, kutwa milegezo na Bongo flava. Hata huo mlima Kilimanjaro ambao wazungu walitupokonya na kuwapa nyie, isingekua kwa juhudi zetu, mngekua na watalii wachache sana wanaoukwea.
 
Asante kwa mapovu ndugu mkenya.
 
Asante kwa mapovu ndugu mkenya.

Ouch!! Samahani jameni afu sikua nimeangalia avatar yako, utakua demu wa Kibongo. Pole jameni huwa nawapenda sana nyie dada wa Kibongo maana duh..
 
Majinga kabisa haya manyang'au, hayana umaarufu wowote kazi kujisifia tu na kudanganya watalii kwa vivutio vya Tanzania, mfano, mlima Kilimanjaro, mbuga ya Serengeti na bonde la Olduvai kuwa vipo kenya. Vijana wa kenya wengi wanakimbilia ughaibuni kufanya vibarua kutokana na ugumu wa maisha huko kwao. Yamekalia ulimbukeni tu, ooh tunajua ongea English kuliko Tz, ngedere wakubwa..
mlima ndio tu mnajivunia haha
 
mlima ndio tu mnajivunia haha
Nyie mnajivunia nini, kiingereza siyo? watumwa wa kifikra kabisa nyie nyang'au. Sijawahi fahamu watu malimbukeni kama nyinyi, kila siku kutaka kujilinganisha na Tanzania. Huko kwenu hamna majukwaa, au mnatafuta mabwana huku!?
 
Ouch!! Samahani jameni afu sikua nimeangalia avatar yako, utakua demu wa Kibongo. Pole jameni huwa nawapenda sana nyie dada wa Kibongo maana duh..
Lazima uwapende maana mademu wa kenya utafikiri midume
 
Nyie mnajivunia nini, kiingereza siyo? watumwa wa kifikra kabisa nyie nyang'au. Sijawahi fahamu watu malimbukeni kama nyinyi, kila siku kutaka kujilinganisha na Tanzania. Huko kwenu hamna majukwaa, au mnatafuta mabwana huku!?
tunajivunia mengi sana **** mamako wewe....kama vile
largest economy in EA
largest producer of tea, coffee
largest producer of flowers (Kenya produces the a third of the entire world's flowers)
largest airport in EA
world class athletes top in medal table in whole of africa
best airline in the EAst african Community nyie bado mwatumia bombadier hehe
2nd best university in EA
2 tallest buidings in East and Central Africa
3 largest malls in EA
wildlife
Obama
best roads in EA
best education system
best constitution
only country in East and central Africa that is not regarded as a least developed country....but we are in the midddle income bracket
largest port
SGR railway
largest number of dollar millionaires in EA (number 4 in africa after SA, Egypt, Nigeria)
and ur still asking stupid questions
motherfucker nyie mwajivunia nini??? mlima???:D:D:D:D
KNOW YOUR PLACE IN SOCIETY IDIOT...DONT COMPARE KENYA WITH DANGANYIKA...TRY SOMALIA OR UGANDA...WE AINT IN THE SAME LEVEL BITCH!!!!
 
Nyie vilaza.Hamuifikii Tanzania hata punje.Hata kiakili,ujanja na uwezo wa kiuchumi sisi tuko juu.Nyie mnapaswa kujifananisha na Somalia.
Mutu ya Kenya bure kabisa.(Kiswahili chenu kibovubovu!).
Hakuna wanaume wa shoka kwenu,kutwa kupigwa na wake zenu.Kifupi nyie ni mdebwedo.
Nimekupa haya kwa kubwa umejitia fundi wa kuitukana nchi shwari ya bongo ambayo sisi tunaipemda na ndio maana hatukubali tudhalilishwe na kanchi kadogo kenye hadhi sawa na Ranchi ya mifugo.
 
Mlikaa na nani kutathmini kwamba nyie ni best kwenye hayo maeneo. Mbona maskini wamejaa huko kwenu, kila siku vijana wanakimbilia ughaibuni kufanya kazi za vibarua. Ardhi yenye rutuba inamilikiwa na wanasiasa na matajiri wachache huku wakenya wengi wakikumbwa na uhaba mkubwa wa chakula hasa maeneo ya kaskazini mwa kenya. Kila mwaka mnahemea mahindi Tanzania. Best education ndo hiyo ya kuongea kizungu siyo? kiingereza chenyewe lafudhi mbovu kama mnabwia ugoro. Shenzi type...
 
Nyie vilaza.Hamuifikii Tanzania hata punje.Hata kiakili,ujanja na uwezo wa kiuchumi sisi tuko juu.Nyie mnapaswa kujifananisha na Somalia.
Mutu ya Kenya bure kabisa.(Kiswahili chenu kibovubovu!).
Hakuna wanaume wa shoka kwenu,kutwa kupigwa na wake zenu.Kifupi nyie ni mdebwedo.
Nimekupa haya kwa kubwa umejitia fundi wa kuitukana nchi shwari ya bongo ambayo sisi tunaipemda na ndio maana hatukubali tudhalilishwe na kanchi kadogo kenye hadhi sawa na Ranchi ya mifugo.
Kenya GDP-65.3 billion
Tanzania GDP--44.5 billion
dude do the math
 
Hahaha imekuingia, mademu wababe wanawapiga hadi ngumi. Au kwa sababu wanaume wa kenya nguvu zimeisha kwa kunywa chang'aa hadi mnapigwa na bibi zenu.
no problem...but at the end of the day Kenya will always be before you whether you like it or not
 
Kivipi? nyie tulishawajua muda mrefu ndo maana mnagonga mwamba mnapotaka kuleta ulaghai wenu. Mnataka ardhi iwe sehemu ya jumuiya wakati kwenu hamna ardhi, mnakodolea macho na ajira za Tanzania. Mnatuchukia sana kuliko nchi yoyote ya EA kwa sababu tunawawekea ngumu na msitarajie mteremko kutoka Tanzania.
 
Back
Top Bottom