Top 20 most famous African countries

Top 20 most famous African countries

Ndoto za mchana. Ukisema famous country in Africa Tanzania must me the first. This is due to its uniqueness. The source of swahili language. Formed by more than 120 tribes but unified by one language. No ukabila. Almost all valuable minerals found in Tanzania. Mbuga za wanyama. Great lakes. The toppest mountain in Africa Kilimanjaro. The source of the longest river in the world river nile. And the like. Tell me the african country which have at least half of these uniquenesses.
 
wewe ni mjinga sana.....do u know what famous means? why would a quiet country be famous? u are very naive if you think people outside africa know even if your country exists ot it is a city in kenya..
 
MY COUNTRY TANZANIA IS NUMBER ONE. ..PIGA, UA, GARAGAZA, LAKINI ITABAKI KUWA NUMBER ONE MILELE YOTE. ..BELIEVE ME. .
nyie ndio wale mnaoambia wanadada waamini (believe me) alafu baada ya mimba mnatokomea msijulikane mlipo kwenda😀😀😀
 
wewe ni mjinga sana.....do u know what famous means? why would a quiet country be famous? u are very naive if you think people outside africa know even if your country exists ot it is a city in kenya..
Hapo ndo swala la ulimbukeni linapokuja, yaani nyie sababu wazungu wamewekeza sana kwenu na wakenya wengi maskini kubaki kuwa manamba unaona huo ni ufahari. Hakuna nchi yenye maskini wa kutupwa eneo lote la EA kama kenya, kazi kufurahia investment za wazungu ambao wanashirikiana na wanasiasa na matajiri wachache, huku wakenya wengi wakikimbilia nje kufanya kazi za vibarua. Hakuna utumwa mbaya kama huu wa kifikra...
 
nyie ndio wale mnaoambia wanadada waamini (believe me) alafu baada ya mimba mnatokomea msijulikane mlipo kwenda😀😀😀
Duh! mbona nina two brilliant and handsome vijana . .....in life you get what you are thinking. ..ukiwa negative kwenye maisha hautafika popote. ..acha kuwa fikiria watu usio wajua vibaya. ..acha kutukana ovyo. .maisha kama hayo hayakufanyi uwe mbunifu wa maendeleo. ..kuwa nasiku njema ndugu yangu. .
 
Hapo ndo swala la ulimbukeni linapokuja, yaani nyie sababu wazungu wamewekeza sana kwenu na wakenya wengi maskini kubaki kuwa manamba unaona huo ni ufahari. Hakuna nchi yenye maskini wa kutupwa eneo lote la EA kama kenya, kazi kufurahia investment za wazungu ambao wanashirikiana na wanasiasa na matajiri wachache, huku wakenya wengi wakikimbilia nje kufanya kazi za vibarua. Hakuna utumwa mbaya kama huu wa kifikra...
Amen RA. ...well said. ..land yao yote imeshikwa na matajiri. ..hao ni vibaraka pasee...
 
Lol! Kishawagaragaza wazungu yeye yuko safiiii kama ndiyo anataka kuanza vile.

Hehehe vipi mrembo kui , hao wanaohoji kwanini Kenya inaongoza nafikiri picha inaweza kuawapa taarifa zaidi ya maneno.

olympics714.jpg

maxresdefault.jpg
 
Back
Top Bottom