Hiyo chart ya kwanza Tanzania wako number mbili?
Huna data wewe, unategemea taarifa toka media za Kenya, Tanzania produces biggest numbers of Doctors followed by Uganda, Kenya ipo number 3, kama unabisha lete data hapa kusupport kwamba Kenya ina madaktari wengi kushinda Tanzania, tukimaanisha idadi ya madaktari waliopo nchiniYou cant make a comeback for that one afadhali unyamaze tu.
Soma vizuri mwenyewe hata hio picha ulioweka Tz imewekwa kwa category ya Countries with the highes % increase, na wala si countries with the most/highest citations.
Kama Tz haishindi Kenya kwa madaktari, elimu ya msingi,secondari na chuo kikuu, unatarajia vipi muishinde Kenya kwa research? Wacheni ndoto bana
Kenya producing 600 doctors a year but counties not hiring - surveyYou cant make a comeback for that one afadhali unyamaze tu.
Soma vizuri mwenyewe hata hio picha ulioweka Tz imewekwa kwa category ya Countries with the highes % increase, na wala si countries with the most/highest citations.
Kama Tz haishindi Kenya kwa madaktari, elimu ya msingi,secondari na chuo kikuu, unatarajia vipi muishinde Kenya kwa research? Wacheni ndoto bana
So in short you're admitting to not having read what you just posted. Uliona tu jina Tanzania and posted awayHebu soma hapa vizuri na ulinganishe ulichopost.
Hapa tunaongea output ndugu
Top 20 Countries for scientific output (Tanzania among of rising stars countries)
Juu wewe umeleta data na links saying Kenya number 3? what you posted above doesn't speak about Tz or UgHuna data wewe, unategemea taarifa toka media za Kenya, Tanzania produces biggest numbers of Doctors followed by Uganda, Kenya ipo number 3, kama unabisha lete data hapa kusupport kwamba Kenya ina madaktari wengi kushinda Tanzania, tukimaanisha idadi ya madaktari waliopo nchini
Your dreams are valid brother, you're the people this world needs.Kuna siku ntaifanya nchi yangu Tanzania iheshimike ntagundua vitu vya kufanya nchi hii iheshimike trust me huu Uzi utafufuliwa siku ntakayochukua noble prize
Yap! you sure didn't read a darn thing. Is it because you can't read or you're just not concernedUtahangaika sana na TZ. Hapo hakuna Kenya rafiki. Hata kwa tochi haionekani.
Kenya producing 600 doctors a year but counties not hiring - surveyJuu wewe umeleta data na links saying Kenya number 3? what you posted above doesn't speak about Tz or Ug
Do 1st what you ask others to do
Weka GDP ya Bulgaria wenzako washuhudie.Usijifananishe na Bulgaria wewe. Bado kenya mnasumbuka na umaskini, magonjwa na unjinga.
Ungemsaidia tu kidogo maana hawa wenzetu tangu wafundishwe kwao kuwa Tanzania iko nyuma yao kila kitu hawaelewiKenya producing 600 doctors a year but counties not hiring - survey
Yeye aliyeanza kusema ndiyo ilibidi aanze kuleta data, atajibiwaje kwa data kama yeye ameleta maneno matupu, mnataka sisi ndiyo tuwatafutie data, hamna akili kabisa. Sasa kwa taarifa yako Tanzania produces nearly double of that of yours 1000 - 1200 per year
Hawa jamaa hawana wanalojua zaidi ya sifa za kijinga, wanalinganisha Tanzania na takataka,Ungemsaidia tu kidogo maana hawa wenzetu tangu wafundishwe kwao kuwa Tanzania iko nyuma yao kila kitu hawaelewi
Mkakati maalum muhimu ajira za madaktari nchini
Uwezo mdogo wa serikali kibajeti ni kikwazo kama alivyoeleza Waziri Ummy kwamba uwezo wa kuajiri kwa mwaka katika sekta ya afya ni wataalamu 400, ingawa wahitimu katika vyuo vikuu ni 1,000 kila mwaka.
Oh, does it? 1000-1200, hmm. Well, the link below begs to defer, it puts your rate of minting doctors at 410/yr only against Kenya's 600/yrKenya producing 600 doctors a year but counties not hiring - survey
Yeye aliyeanza kusema ndiyo ilibidi aanze kuleta data, atajibiwaje kwa data kama yeye ameleta maneno matupu, mnataka sisi ndiyo tuwatafutie data, hamna akili kabisa. Sasa kwa taarifa yako Tanzania produces nearly double of that of yours 1000 - 1200 per year
Kwanza weka halafu tujadili hayo mengine baadaye.Unajua maana ya GDP?