Top 20 Countries for scientific output (Tanzania among of rising stars countries)

Emc2

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
16,812
2,000
The scientific editing company posted this Chart indicating the countries with the largest scientific publication output between 1999-2009. Surprisingly some new countries have become rising stars such as [HASHTAG]#Bulgaria[/HASHTAG] and [HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG]. Back to the drawing board!

DQo8scrUMAECCMB.jpg:large
 
Kajirutaluka

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
1,224
2,000
. Sisi ni katika rising star kwa ku cite paper za wenzetu. Kama hujaelewa we sema tu maimuna
 
Livale

JF-Expert Member
Jun 12, 2016
739
1,000
Tz has marked one of the largest growth in citations doesn't mean it has more citations and scientific publications than Ke. But it is a step towards the right direction

Here is a graphical representation of scientific publications by UNESCO

Tz is grouped in Southern Africa where it had 770 scientific publications
36379123736_9b8d402e4d_b.jpg

Ke, grouped in East, Central & horn of Africa had almost double the publications of Tz
36027771840_f49d1dfa46_b.jpg

UNESCO Science Report
 
Hebu soma hapa vizuri na ulinganishe ulichopost.
Hapa tunaongea output ndugu

Top 20 Countries for scientific output (Tanzania among of rising stars countries)
 
eliakeem

JF-Expert Member
May 29, 2009
13,289
2,000
Bravo my beloved TANZANIA. sayansi juu. maendeleo ya viwanda juu. uchumi wa kati juu!!
 
Kafrican

JF-Expert Member
Jan 26, 2015
7,130
2,000
Hebu soma hapa vizuri na ulinganishe ulichopost.
Hapa tunaongea output ndugu

Top 20 Countries for scientific output (Tanzania among of rising stars countries)
You cant make a comeback for that one afadhali unyamaze tu.
Soma vizuri mwenyewe hata hio picha ulioweka Tz imewekwa kwa category ya Countries with the highes % increase, na wala si countries with the most/highest citations.

Kama Tz haishindi Kenya kwa madaktari, elimu ya msingi,secondari na chuo kikuu, unatarajia vipi muishinde Kenya kwa research? Wacheni ndoto bana
 
Emc2

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
16,812
2,000
You cant make a comeback for that one afadhali unyamaze tu.
Soma vizuri mwenyewe hata hio picha ulioweka Tz imewekwa kwa category ya Countries with the highes % increase, na wala si countries with the most/highest citations.
Hahahahaha!! naona unazidi kuweweseka. Hapo utapiga kelele sana. Kenya haipo kwenye rising stars. Scientific issue zenu they don't have output. Mbona unapiga kelele sana.
Hapo kuna:-
Bulgaria, Pakistan, Iran, Tanzania, Saud Arabia, Serbia and Ghana.

Kenya haipo.
Kutoa povu unaruhusiwa.
 
Lewis254

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
5,993
2,000
Whereas Kenya maintained it's previous position at no. 29..... someone somewhere is celebrating jumping 5places up^ from position 185 to 180.
Congratulations!
 
Kenya ilikua top 3 in % increase in Ease of doing business duniani, haimaanishi kwamba Kenya ni number 3 duniani kwa 'ease of doing business' kama haujaelewa mpaka hapo basi siwezi kusaidia

wp_ss_20171210_0001.png
 
Kafrican

JF-Expert Member
Jan 26, 2015
7,130
2,000
Whereas Kenya maintained it's previous position at no. 29..... someone somewhere is celebrating jumping 5places up^ from position 185 to 180.
Congratulations!
Hehehe position 180 VS 29, na kajamaa bado Kanataka kupimana misuli
 
Emc2

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
16,812
2,000
Kenya ilikua top 3 in % increase in Ease of doing business duniani, haimaanishi kwamba Kenya ni number 3 duniani kwa 'ease of doing business' kama haujaelewa mpaka hapo basi siwezi kusaidia

View attachment 647789
Hapa naona unajifariji sana. Unatakiwa ukubali Kenya haipo. Hapa tunaongelea "countries with the largest scientific publication output"
Bulgaria, Pakistan, Iran, Tanzania, Saud Arabia, Serbia and Ghana as rising stars. Mbona simple sana. Unatoa povu zito hivyo kwa sababu kenya haipo.
 
Kafrican

JF-Expert Member
Jan 26, 2015
7,130
2,000
Hapa naona unajifariji sana. Unatakiwa ukubali Kenya haipo. Hapa tunaongelea "countries with the largest scientific publication output"
Bulgaria, Pakistan, Iran, Tanzania, Saud Arabia, Serbia and Ghana as rising stars. Mbona simple sana. Unatoa povu zito hivyo kwa sababu kenya haipo.
Fanya hivi basi, leta link/source ya hii ripoti mwanzo alafu mengine badae
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom