Nyamuleha jr
Senior Member
- Feb 20, 2013
- 185
- 65
- quit bad habit Kama vile kusema uongo,zinaa, kulewa sana, (uvivu,) kupiga ok mmenielewa i want to be a good boy
- good health mazoezi (1 to2 hours 4days a week), kula vizuri.
- kujifunza mambo mapya (lugha, technology, driving, reading 4 books, online news paper everyday) .
- kutafuta demu wakudumu sasa ambaye nitapiga mwaka mzima.
- kutengeneza hela za kutosha. (kuandaa bussness plan, ajira ya kudumu)
- kununua sony experia na kuachana kabisa na nokia za tochi.
- time management 10 to 12 working hours (timetable,planing, speed, accuracy, balance).
- kuangalia kombe la dunia
- cijui hapa niweke nini?? ough labda
- kufanikisha hayo hapo juu kwa asilimia 98
- greatness of something in someone