Top 10 things navyo tamani kuvifanya 2014..

Nyamuleha jr

Senior Member
Feb 20, 2013
185
65
  1. quit bad habit Kama vile kusema uongo,zinaa, kulewa sana, (uvivu,) kupiga ok mmenielewa i want to be a good boy
  2. good health mazoezi (1 to2 hours 4days a week), kula vizuri.
  3. kujifunza mambo mapya (lugha, technology, driving, reading 4 books, online news paper everyday) .
  4. kutafuta demu wakudumu sasa ambaye nitapiga mwaka mzima.
  5. kutengeneza hela za kutosha. (kuandaa bussness plan, ajira ya kudumu)
  6. kununua sony experia na kuachana kabisa na nokia za tochi.
  7. time management 10 to 12 working hours (timetable,planing, speed, accuracy, balance).
  8. kuangalia kombe la dunia
  9. cijui hapa niweke nini?? ough labda
  10. kufanikisha hayo hapo juu kwa asilimia 98

  • greatness of something in someone
niongezee vingine basi vya kufanya??????????/
 
Hizi Zangu Mimi Mkuu Angalia Ipi Itakufaa Uongeze Kwako

  1. kutumia muda kidogo zaidi kwenye mitandao
  2. Kumalizia Nyumba Yangu
  3. Kujiweka Fit zaidi (Mazoezi)
  4. Kupunguza Uvivu
  5. Kupandishwa Cheo Kazini
  6. Kubadilisha gari nililonalo sasa
  7. Kuzidisha msaada zaidi kwa Wazazi na ndugu zangu wote
  8. Kuzidisha mapenzi zaidi kwa nimpendae
  9. Kwenda Holiday mbuga za wanyama
  10. Kuanzisha Kibiiashara changu mwenyewe na mimi nilisaidie taifa kwa kulipa kodi na kupunguza uhaba wa ajira nchini
 
hivi umeona kuwa daily yako imejaa ndo umeleta jf kuwajazia mamods vitu visivyoeleweka hapa?
kweli ufb ushavamia huku
  1. quit bad habit Kama vile kusema uongo,zinaa, kulewa sana, (uvivu,) kupiga ok mmenielewa i want to be a good boy
  2. good health mazoezi (1 to2 hours 4days a week), kula vizuri.
  3. kujifunza mambo mapya (lugha, technology, driving, reading 4 books, online news paper everyday) .
  4. kutafuta demu wakudumu sasa ambaye nitapiga mwaka mzima.
  5. kutengeneza hela za kutosha. (kuandaa bussness plan, ajira ya kudumu)
  6. kununua sony experia na kuachana kabisa na nokia za tochi.
  7. time management 10 to 12 working hours (timetable,planing, speed, accuracy, balance).
  8. kuangalia kombe la dunia
  9. cijui hapa niweke nini?? ough labda
  10. kufanikisha hayo hapo juu kwa asilimia 98

  • greatness of something in someone
niongezee vingine basi vya kufanya??????????/
 
Kweli JF imevamiwa,ngoja wenzako wa FB wajekukuongezea mawazo.....

Sioni tatizo na post yake, kaweka vipaumbele vyake na kuamua kushirikisha wengine. Kama tatizo ni hivyo vipaumbele vyake, hiyo ni kwa kadri ya malengo yake akizingatia resources alizonazo. Ni vizuri kuheshimu mawazo ya watu wengine.
 
mawazo mazuri ila umechemka mbaya no.4,tafuta mke oa kama unataka kudo acha dhambi ya makusudi,chakuongezea jitaidi kumtafuta mungu nakumpa first priority in your plans.goodluck
 
  1. quit bad habit Kama vile kusema uongo,zinaa, kulewa sana, (uvivu,) kupiga ok mmenielewa i want to be a good boy
  2. good health mazoezi (1 to2 hours 4days a week), kula vizuri.
  3. kujifunza mambo mapya (lugha, technology, driving, reading 4 books, online news paper everyday) .
  4. kutafuta demu wakudumu sasa ambaye nitapiga mwaka mzima.
  5. kutengeneza hela za kutosha. (kuandaa bussness plan, ajira ya kudumu)
  6. kununua sony experia na kuachana kabisa na nokia za tochi.
  7. time management 10 to 12 working hours (timetable,planing, speed, accuracy, balance).
  8. kuangalia kombe la dunia
  9. cijui hapa niweke nini?? ough labda
  10. kufanikisha hayo hapo juu kwa asilimia 98

  • greatness of something in someone
niongezee vingine basi vya kufanya??????????/

Yahaya!!!!!!!!!!
 
sidhani kama imevamiwa... hii post itawasaidia hata na wengine (ambao hawakuwa aware) kufikiria juu yakujiwekea malengo yao kimaisha.......

Akili yake=Na akili yako. You cannot see the difference
 
  1. quit bad habit Kama vile kusema uongo,zinaa, kulewa sana,
    (uvivu,) kupiga ok mmenielewa i want to be a good boy
  2. good health mazoezi (1 to2 hours 4days a week), kula vizuri.
  3. kujifunza mambo mapya (lugha, technology, driving, reading 4
    books, online news paper everyday) .
  4. kutafuta demu wakudumu sasa ambaye nitapiga mwaka mzima.
  5. kutengeneza hela za kutosha. (kuandaa bussness plan, ajira ya kudumu)
  6. kununua sony experia na kuachana kabisa na nokia za tochi.
  7. time management 10 to 12 working hours (timetable,planing, speed,
    accuracy, balance).
  8. kuangalia kombe la dunia
  9. cijui hapa niweke nini?? ough labda
  10. kufanikisha hayo hapo juu kwa asilimia 98

  • greatness of something in
    someone
niongezee vingine basi vya
kufanya??????????/

Mipango mingi hiyo; utachemka tu. Mipango ambayo ni trivial kama: kununua sonny experia, demu wa kugonga mwaka mzima, kufanya mazoezi, kusoma vitabu, it sounds childish! ondoa dogo.
 
tena mwabie akiwa anadhani anapendwa na wanawake wengi wa kila umri basi ana nyota kali sana ya UKIMWI. so please,
stop that!!!!:lock1::lock1:
 
wish u all the best, kwani kunawengine mpaka leo tunaenda kufunga mwaka hawana ndoto za maisha hata moja, pia mnaokashifu si wote wenye malengo ya kununua ndege, kujenga ghorofa, au kununua hummer!!!! kumbukeni tu kuwa tumetofautiana vipato, mawazo na malengo pia...
 
Hizi Zangu Mimi Mkuu Angalia Ipi Itakufaa Uongeze Kwako

  1. kutumia muda kidogo zaidi kwenye mitandao
  2. Kumalizia Nyumba Yangu
  3. Kujiweka Fit zaidi (Mazoezi)
  4. Kupunguza Uvivu
  5. Kupandishwa Cheo Kazini
  6. Kubadilisha gari nililonalo sasa
  7. Kuzidisha msaada zaidi kwa Wazazi na ndugu zangu wote
  8. Kuzidisha mapenzi zaidi kwa nimpendae
  9. Kwenda Holiday mbuga za wanyama
  10. Kuanzisha Kibiiashara changu mwenyewe na mimi nilisaidie taifa kwa kulipa kodi na kupunguza uhaba wa ajira nchini

Hongera sana kaka nitakuiga namba 2,6 na 10....Ila nitaongeza bidii katika shughuli za kilimo
 
Jf imeingiliwa na makajanja ndio maana yanaleta thread za wale watoto wa chekechea
  1. quit bad habit Kama vile kusema uongo,zinaa, kulewa sana, (uvivu,) kupiga ok mmenielewa i want to be a good boy
  2. good health mazoezi (1 to2 hours 4days a week), kula vizuri.
  3. kujifunza mambo mapya (lugha, technology, driving, reading 4 books, online news paper everyday) .
  4. kutafuta demu wakudumu sasa ambaye nitapiga mwaka mzima.
  5. kutengeneza hela za kutosha. (kuandaa bussness plan, ajira ya kudumu)
  6. kununua sony experia na kuachana kabisa na nokia za tochi.
  7. time management 10 to 12 working hours (timetable,planing, speed, accuracy, balance).
  8. kuangalia kombe la dunia
  9. cijui hapa niweke nini?? ough labda
  10. kufanikisha hayo hapo juu kwa asilimia 98

  • greatness of something in someone
niongezee vingine basi vya kufanya??????????/
 
weka malengo makubwa manne au matatu, hayo mengine hata mtoto wa form six anayaweza
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom