Top 10 Smart Phones in Dar es salaam

Top 10 Smart Phones in Dar es salaam

Daaah...! sasa unavyomkatisha tamaa namna hiyo we unafaidi nini..??!

mkuu huyu jamaa hajanikatisha tamaa, i've been doing my business for a long time n i've always had big successes huyu mtanzania moja hawezi kunipa presha, ana njaa tu kichwani akiona mtu anaweza kufanya something better ambacho hawezi anaona wivu.. badala ya kukomaa afike level flani anakaa anataka wote wawe level yake tu umaskini wa hela na umaskini wa akili..
Sina shida na labda tu hujanielewa kutumia kigezo cha waliopost kwenye hii thread na hata kuwalenga watanzania kwa business ya software naona kama umepotea njia coz watanzania wenye access ya internet hawafiki hata 5%.

ukitaka kutumia human resource TZ business iwe kwenye sekta kama za kilimo ambapo ndipo 80% ipo hope umenielewa sasa .
 
Pole sana... u know nothing about internet business, acha ambao tumeizoea tuendelee tunavojua, it doesnt work for u not for me... Endelea kulima na hiyo 80% yako.. ambao tuko kwenye technology tuache huku, u r very ignorant my friend, sasa unataka kila mtu afanye kilimo.. si ufanye wewe mwenyewe.. hujui kuna watu wanalala na a million every week ku-run just a website in free time, muda mwingine wanafanya kazi nyingine, bongo si kenya wala usa na siongelei speculations naongelea facts.. A software ambayo itanichukua mwezi kuandika in my free time niache ati kisa mtu anataka nikalime, umepotea sana dogo...

afu hujui hata huduma kama mpesa mnayotumia ni mtu alikaa akaandika software, hizo kadi za mabasi mnayotaka kuanza kutumia ni mtu alikaa akaandika software, yani unawaza kilimo tu, tulime wote haya mengine afanye nani? mzungu?
 
acha kutudanganya cm popular dar ni TECNO na SAMSUNG.,

hayo mengne n kujpa moyo tu
 
mi ni blackberry royal fan.

sijawahi ku regret kununua blackberry Z30..

this is a most powerful device I ever use..

The BlackBerry Z30 lives up the promise of a flagship phone.

nimetumia samsung galaxy s4, I phone but sijazikubali kama blackberry z30.

tatizo la BlackBerry z30 ni bei tu. too much expensive
 
Kama criteria ya popularity ndo imetumika hapa ni dhahiri tunadanganyana, unless uniambie labda dar ya ulaya, iPhone, 5s ndo ishike namba moja!!? Nadhani hata ukiweka top 20 hakuna high end smartphone yeyote itakayoingia kwa dar, ila ungeniambia tecno ndo kaongoaza ningekubaliana na wewe 100%, anyway hii ni kulingana na utafiti wako
 
Hiyo list yake sijui ametumia kigezo gan kuipangilia, kama ni market share iphone haipo kabsa, maana kipato chetu wabongo hakiruhusu kumiliki hizo simu za milion.
 
Pole sana... u know nothing about internet business, acha ambao tumeizoea tuendelee tunavojua, it doesnt work for u not for me... Endelea kulima na hiyo 80% yako.. ambao tuko kwenye technology tuache huku, u r very ignorant my friend, sasa unataka kila mtu afanye kilimo.. si ufanye wewe mwenyewe.. hujui kuna watu wanalala na a million every week ku-run just a website in free time, muda mwingine wanafanya kazi nyingine, bongo si kenya wala usa na siongelei speculations naongelea facts.. A software ambayo itanichukua mwezi kuandika in my free time niache ati kisa mtu anataka nikalime, umepotea sana dogo...

afu hujui hata huduma kama mpesa mnayotumia ni mtu alikaa akaandika software, hizo kadi za mabasi mnayotaka kuanza kutumia ni mtu alikaa akaandika software, yani unawaza kilimo tu, tulime wote haya mengine afanye nani? mzungu?
All the best.
 
nilipata mkasa was kupewa dawa za kulevya trh 15 juzikati kila kitu including vimeo vya simu mdogo Wang kanipa s4 Samsung loh inanipa kazi kwanza
charge halaf mb zinasepa uuuuuuuh kutaach sheeda sijapenda nataka tecno tena with no screen touch
 
Kuniambia Nokia Lumia 520 inauzwa 450,000 inahitaji ujasiri. Au mimi ndio nimeshindwa kusoma vizuri hapo?
 
hio list mbona iko iko 2.... hzo cmu mbona kwa dar baadhi ni adimu...mmhh cjui..naona km nokia ya tochi ndo namba1
 
Back
Top Bottom