Top 10 Smart Phones in Dar es salaam

Iphone is everything to me.neva leave Her. Nampenda baby wangu iphone 5S Gold.


Sent from my iPhone

Features za Iphone hazistahiki bei (zinazo uzwa). Siipendi Iphone (hovyo), configuration yake taabani (imekaa kichoyo choyo tu).

Samsung S5, Samsung Note 3 and Huawei ascend mate 2 are the best phones in the world.
 
Features za Iphone hazistahiki bei (zinazo uzwa). Siipendi Iphone (hovyo).

Samsung S5, Samsung Note 3 and Huawei ascend mate 2 are the best phones in the world.

We bado akili haijakua samsung wambie watengeneze na nguo za kuwekea misimu yao ka laptop.


Sent from my iPhone
 
We bado akili haijakua samsung wambie watengeneze na nguo za kuwekea misimu yao ka laptop.


Sent from my iPhone

Mtu yeyote anaechagua Iphone ni mshamba wa mambo ya electronic na IT (CPU ya Iphone taabani, Camera taabani 8MP only, Screen taabani, battery taabani, RAM ndogo, Bei ghali... )

Hata nikipewa bure (siitaki) nitaiuza halafu pesa hizo nitanunulia Samsug.
 
Mtu yeyote anaechagua Iphone ni mshamba wa mambo ya electronic na IT (CPU ya Iphone taabani, Camera taabani 8MP only, Screen taabani, battery taabani, RAM ndogo, Bei ghali... )

Hata nikipewa bure (siitaki) nitawapa watoto wadogo waichezee.

Basi sawa naskia unapenda ligi huko mtaan kwenu.


Sent from my iPhone
 
Mtu yeyote anaechagua Iphone ni mshamba wa mambo ya electronic na IT (CPU ya Iphone taabani, Camera taabani 8MP only, Screen taabani, battery taabani, RAM ndogo, Bei ghali... )

Hata nikipewa bure (siitaki) nitawapa watoto wadogo waichezee.
hauna lolote hayo maneno ya mtu asiye na pesa,ingekuwa hivyo kila mtu angekuwa nayo ,ulaya 95%wanatumia iphone pia ni moja ya cm ghali zaidi duniani
 
Tatizo wabongo hatuendi kwa specifications,watu wananunua tu masimu ya gharama bila kujua hasa nn anahitaji kwny simu!wengi wananunua simu za gharama kwa kufuata tu mkumbo au aonekane tu kwamba ana simu ya ghara(sifa za kijinga) na wengi utakuta hawatumii hata theluthi ya uwezo wa simu!wanatumia jst basic functions km kutuma/kupokea sms,wtf-instagm,kupga/kupokea bac kamaliza!hvyo angeweza kuwa na hata simu ya laki na nusu badala ya 1.3M!!au ndo mambo ya "brand" niue!
 
hauna lolote hayo maneno ya mtu asiye na pesa,ingekuwa hivyo kila mtu angekuwa nayo ,ulaya 95%wanatumia iphone pia ni moja ya cm ghali zaidi duniani

Ghali lakini haistahiki bei hiyo (wajinga tu ndio wanao inunua).

Acha uongo wee, ulaya na dunia nzima (asilimiwa kubwa) wanatumia Samsung.

Samsung Ndio inao ongoza dunia nzima.
 

Kume Tecno ni balaa imeishinda hata SAMSUNG kwa ubora?
 

utafiti wako umefanya wapi?!
 
Hui in chaja kwenda mbele naichukia sana hapa

naitumia ikiwA Moroni
 
hizo high end mnavoziweka, safi naona wabongo siku hizi wanacheza na high ends... software ntakayorelease app store basi kumbe itapata wateja...
ila i still think wengi wanachezea techno.. my guess sababu ndo naona zinapigwa sana kelele humu JF...
We release mbegu mpya ya mahindi iyo app utaitumia wewe na girlfriend wako.
 
Daaah...! sasa unavyomkatisha tamaa namna hiyo we unafaidi nini..??!
mkuu huyu jamaa hajanikatisha tamaa, i've been doing my business for a long time n i've always had big successes huyu mtanzania moja hawezi kunipa presha, ana njaa tu kichwani akiona mtu anaweza kufanya something better ambacho hawezi anaona wivu.. badala ya kukomaa afike level flani anakaa anataka wote wawe level yake tu umaskini wa hela na umaskini wa akili..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…