cyrustheruler
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 2,044
- 1,873
Catch a falling star Nina simone
Million Voices by Wyclef Jean , A tribute to Rwandan GenocideNI nyimbo gani ukizisikia unahisi kutokwa machozi??....nimejaribu kutengeneza list ya nyimbo 10 ambazo zinasikitisha zaidi....kama hujakubaliana na list jaribu kuweka ambazo unaona zinasikitisha zaidi
10. Footprints by T.o.k
9.Candle in the wind by Elton JOhn
8. Kaal ho naho
7. Tutakukumbuka By Crazy Gk FT T.I.D
6. Gone too soon By Michael Jackson
5. Seasons in the sun By Westlife
4. Unbreak my heart By Tony Braxton
3. ill be missing you By The Police/ P.diddy ft Faith evans
2. Time After Time by Cindi Lauper
1.If I Could Turn Back The Hands of Time by R.Kelly
Unahuzunishaaa saana saaana...sijui nice alimwimbia mama yake kweli sijui aliamua tuHuu wimbo nilikuaga mtoto ila ulikua unaniliza sana.
Itakua aliimba tu kama msanii.Unahuzunishaaa saana saaana...sijui nice alimwimbia mama yake kweli sijui aliamua tu
Mama anaye!Itakua aliimba tu kama msanii.
Hahahahaa.. najua ulipoona. Sikua mtoto kiviile. Sema kipindi hicho nilikua primary afu nilichelewa kuanza shule[emoji6]Mama anaye!
Halafu kumbe wewe katoto ka juzi hivyo eeeh.. usiulize kwanini maana umeshajua wapi nimeona.
Aaàh. . Wapi ni hiki kipindi cha mkapa tu usiniongopeeHahahahaa.. najua ulipoona. Sikua mtoto kiviile. Sema kipindi hicho nilikua primary afu nilichelewa kuanza shule[emoji6]