Tanzania/bongo saddest & emotional songs of all time

Marashaaa95

JF-Expert Member
Nov 9, 2015
842
709
Tanzania songs only

Barua- Daz Nundaz
Kamandaaaaa-Daz Nundaz
Mwanamkiwa - K -sal ft Ferooz
Sauti ya Manka- Gk
Nitakufaje - GK
Maisha ya Bongo - 20%
Tunataabika - Mabaga Fresh
Mama- Mr Nice
Mbona umeniacha - Mr Nice
Kazi yake mola - madee
Funguo iliyopotea-snare
Starehe- ferooz
Nimeondoka- dudu baya
Mkuki moyoni -Afande sele
Elimu dunia- daz baba
Boss- ferooz
Swahiba-Jebby
Ajali-Msondo Ngoma
Umaskini - John walker & Ras Lion
Binadamu- Ay
Wema wangu - Ferooz
Nimejifunza - Ferooz
Binti kiziwi - Z- Anto
Kifo - Dr Remmy
Kilioooo - Dr Remy
Rita - Marlaw
Hali ngumu - Juma Nature
Inaniuma sana - Juma Nature
Nikusaidiaje - Professor Jay
Usilie - christian Bella
Si ulinikataa- Q chief
Alikufa kwa ngoma - Mwana FA
Tamaa mbaya - 20%
Malumbano -20%
Mr Politician- Nakaaya sumari
Nishike mkono - Darasa
Kafia Ghetto - Hussein Machozi
Salome - Dully Sykes
Maji ya shingo- Daz Nundaz
Nipe Ripoti-Tundaman Ft Spark

List ni ndefu mnoooo,kama unaona kuna nyimbo nimeisahau ,tupia niiongeze kwenye Play list hii ya Nyimbo za huzuni na zenye kuibua hisia za Majonzi za Tanzania/Bongo tu.
 
Ktk list yako hakuna wimbo wa huzuni unaoufikia hata kuukaribia tu Mwana mkiwa aliotunga Ferooz akaimba na K-Sal, last weekend ulipigwa ktk gari nililokuwa nimepanda, nilijizuia sana kutoa machozi.
Vinginevyo umeusahau Kareem wa Ali Kiba, ni wimbo bora sana wa huzuni pia.
 
Kuna wimbo wa Mr Nice enzi zake unaitwa Mama kama sijakosea dah "Mbona umeniacha mama weee umeniacha na nani?ebu rudi nikuone mara ya mwisho"
 
Ktk list yako hakuna wimbo wa huzuni unaoufikia hata kuukaribia tu Mwana mkiwa aliotunga Ferooz akaimba na K-Sal, last weekend ulipigwa ktk gari nililokuwa nimepanda, nilijizuia sana kutoa machozi.
Vinginevyo umeusahau Kareem wa Ali Kiba, ni wimbo bora sana wa huzuni pia.
Alitunga K sal akamshirikisha ferooz
 
Back
Top Bottom