Who Cares?
JF-Expert Member
- Jul 11, 2008
- 3,507
- 3,378
IN THE AIR.....JOE BUDDEN
Dah umenikumbusha rafiki yangu mmoja mshkaji wangu alikuwa akija kwangu kwenye playlist yake ya songs of the brokenhearted hii ilikuwa inaongoza kwenye countdown zake hiyo ilikuwa baada ya kushindwa kumuoa binti wa tajiri mmoja ambae alikuwa anampenda to death.I know that it's over
But I can't believe we're through
They said that time's a healer
And I'm better without you
It's gonna take time I know
But I'll get over you
[Chorus:]
Look at my life
Look at my heart
I have seen them fall apart
Now I'm ready to rise again
Look at my hopes
Look at my dreams
I'm building bridges from these
scenes
Now I'm ready to rise again
Caught up in my thinking, yeah
Like a prisoner in my mind
You pose so many questions
But the truth was hard to find
I better think twice I know
That I'll get over you
[Chorus]
Much time has passed between us
Do you still think of me at all?
My world of broken promises
Now you won't catch me when I fall.....
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mzee shikamoo jazz weweeHizi ulizotaja hazina mvuto hata kidogo. Nyimbo za maana na zenye hisia kali ni hizi zifuatazo:
1. Zuwena - Rajab Marijan / Dar International
2. Usia Kwa Watoto - Maalim Gurumo/OTTU Msondo
3. Siku Ya Kufa - Dr. Remmy/Makassy Orchestra
4. Dunia Msongamano - Supreme Kasheba/Safari Sound Orchestra
5. Hayo Yote Ni Ya Dunia - Dar Jazz
6. Rufaa Ya Kifo - Dar International
7. Mwana Yatima - Rajab Marijan/Dar International
8. Mnanionyesha Njia Ya Kwetu - DDC Mlimani Park
9. Sikitiko - Tancut Alimasi "Wana Kinyekinye Kisonzo"
0. Binadamu Hawana Wema - Bitchuka/Orchestra Safari Sound
Mkuu, yaani ziko nyingi ila ni hizo tu kwa haraka haraka.
Mr. Nice mbonaaa umeniacha umeniacha na nani mama hebu rudi nikuoneee mara ya mwishoohivi kuna wimbo sad kama BARUA?
ni Dodi mkuu sio Todi..[emoji1]Candle in the wind RIP Diana and Todi.
NI nyimbo gani ukizisikia unahisi kutokwa machozi??....nimejaribu kutengeneza list ya nyimbo 10 ambazo zinasikitisha zaidi....kama hujakubaliana na list jaribu kuweka ambazo unaona zinasikitisha zaidi
10. Footprints by T.o.k
9.Candle in the wind by Elton JOhn
8. Kaal ho naho
7. Tutakukumbuka By Crazy Gk FT T.I.D
6. Gone too soon By Michael Jackson
5. Seasons in the sun By Westlife
4. Unbreak my heart By Tony Braxton
3. ill be missing you By The Police/ P.diddy ft Faith evans
2. Time After Time by Cindi Lauper
1.If I Could Turn Back The Hands of Time by R.Kelly
....why does it hurt so bad-whitney H.