Top 10 Most Expensive Homes In The World

Top 10 Most Expensive Homes In The World

Hapo wataringia hela zao sio uhai maana hata miti inapumua
 
Hela walizo nazo zinauwezo wa kufanya hayo wanayotaka basi nawafanye tu.
 
Pesa ikizidi sana ni balaa.

Mimi naona kote kuna shida ya maji, wewe lala humo mimi nalala kwenye nyumba ya udongo wote tuatapata usingizi, wote tunaota, wote tunamka ikifika asubuhi. Tena mimi wa nyumba ya udongo nina amani sana kuliko wewe wa humo utahitaji ulinzi wa hali ya juu wakati mimi nitakuwa makini na nyoka kuingia kwenye nyumba yangu.

Kweli kote kuna shida ya maji
 
hizo nyumba mbona mbayaa.....sijaipenda hata moja bora ile ya udongo kule kimbiji kwa bibi kuliko hayo mabangaloo .tena itakuwa kila nyumba hawazidi watu 9..ndo maisha gani hayo.

uzuri na ubora wa kitu hutegemea mtazamo wa kila mmoja. siyo lazima kuwa kizuri kwa mmoja kiwe kizuri pia kwa mwingine. its just the matter of reaction upon that brings about a meaningful reflection and conclusion on an idea or thing. so, philosophically, you are right, and those who developed the land to such context were(are) also right. class also matters. Are you there?
 
Tru mkuu, 7 rooms, 12 bathrooms lakini mwisho wa siku unalala kwenye chumba kimoja na unajisaidia kwenye choo kimoja. Inanikumbusha movie ya "Cookout" dogo mmoja alikuwa drafted NBA akapata hela ndefu akanunua bonge la nyumba kwenye suburbs. Siku alipoenda kuwaonyesha wazazi wake ambao wanaishi kwenye "projects" akawa anatamba kuwa "this house got six rooms and five bathrooms blah blah blah". Baba yake akamwuliza "why do you need five bathrooms while you got one ass?"

Sure mkuu, hata mimi kusema ukweli nilijenga kubwa kwa kuwa nilikuwa na lengo na kuwasaidia sana ndugu zangu na pia nilitaka watoto wawe na space nzuri ya kuishi. Sasa almost wanajitegemea so hata walete wajukuu hawatajaza mule na hakika kwa maisha ya leo ya nuclear family ya watoto wachache si rahisi kuleta wazee. Anyway, sema pia na tunakoenda itakua pia source ya income.
 
Wangenikopesha nikamalizia kibanda changu. Nani mwenye contact za mmojawapo?
 
Hapo wataringia hela zao sio uhai maana hata miti inapumua
Wakiwa na bahati wasipotee kwenye ndege ya malasyia tunaweza kuwazika nasuti moja ,viatu pea moja, na may be saa. Ningeshauli wakati wengine wanateseka matatizo yao yatuguse maana wengine wanalala chini ya miti na chakula hawana. na haya mambo ndiyo yanaongeza laana na mateso duniani. Mungu hapendi tumuogope.
 
Mh hata sijazipenda utadhani makaburi..
 
Aisee babangu hawa hawajatembelea Marangu aisee,watabadili hiyo list yao aisee!
 
Back
Top Bottom