Top 10 'Husband Material' Names

Basi subiri nikapige tenda mtaani mambo ya kijipa tu narudi kuendelea na mtongozo wangu, ila tafadhali naomba kilometer zisizidi zaidi ya hapa we kwa mdaa huu kuwasingle tu nikikuta kilometer zaidi ya hizi billion 20, UGOMVI.
worldboss usipate taabu mie huwa single daima, until you hv rights to claim me.
 
Last edited by a moderator:
Plz na mimi ningekuwa wa furaha sana kama ungenifanyia mpango wa kuniweka kwenye hako ka list kako.......ili na mimi nkakuunganishe kwenye kachain kangu

Sasa hivi nataka husband material tu!! Huoni akina Chriss washaanza kujitokeza!!
 
Ila sio siri kati ya majina ninayoyapenda ni Chriss.

Nikupe tu ee nikupe mdogo wangu maana chriss kweli...
Hadi kuna wadada huwa wanakuja kunibembeleza niwaunganishe nae.
 
Mbona Christian watupu??? Umechemsha kajipange upya
Hayo majina yana dini? Hayo majina ya kiingereza bana ni ninyi tu huku Bongo ndio mmekariri. Ukienda Uingereza wapo waislamu wenye hayo majina.
 
Riwa simo!?

Nilikuwa na mwl wangu wa primary alikuwa anaitwa Riwa.
Alikuwa cha pombe vibaya sana, anakuja class yupo njwiii.
Basi nikiona jina lako namkumbuka huyo ticha.
 
Nikupe tu ee nikupe mdogo wangu maana chriss kweli...
Hadi kuna wadada huwa wanakuja kunibembeleza niwaunganishe nae.

Inipe nimlee?? Akuu nitakuja kumlea mwanangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…