Top 10 Hacking Attacks Zilizotikisa Dunia (Kwa Historia, Impact, na Ujanja)

Top 10 Hacking Attacks Zilizotikisa Dunia (Kwa Historia, Impact, na Ujanja)

black-tz

Senior Member
Joined
Jul 20, 2021
Posts
115
Reaction score
164
Top 10 Hacking Attacks Zilizotikisa Dunia (Kwa Historia, Impact, na Ujanja)


---

1. The Melissa Virus (1999)

Iliundwa na David L. Smith

Iliambukiza Microsoft Word docs kupitia email

Ilienea kwa email zote kwenye contact yako — ndani ya dakika chache

Ilivuruga systems za FBI, Microsoft na Pentagon

Damage: Zaidi ya $80 million



---

2. Stuxnet (2010)

Iliundwa na collaboration ya NSA & Israeli Intelligence (Mossad)

Iliharibu mashine za nyuklia za Iran

Iliingia kupitia USB, ikabadilisha mfumo wa centrifuges

Ni first real-world cyber weapon



---

3. Sony Pictures Hack (2014)

Lilifanywa na “Guardians of Peace” (inaaminika ni Lazarus Group)

Walivujisha emails za wafanyakazi, filamu zilizotoka, na data ya internal

Kisa? Sony walitaka kuonesha filamu ya The Interview (iliyomdhalilisha Kim Jong Un)



---

4. Yahoo Hack (2013–2014)

Zaidi ya 3 billion accounts zilidukuliwa

Iligunduliwa baada ya miaka 3

Passwords, security questions, contact info — vyote viliibiwa

Iliitwa "The Biggest Hack in History" kwa volume



---

5. Equifax Breach (2017)

Hii ilikuwa shambulizi dhidi ya kampuni ya credit

Zaidi ya 147 million Americans waliathiriwa

Ilifichua Social Security Numbers, names, dates of birth

Cost ilifika zaidi ya $700 million



---

6. Anonymous vs Church of Scientology (2008)

Operesheni Chanology

DDoS, prank calls, black faxes

Ilifanya Anonymous kuwa maarufu duniani kama cyber-activists

Ilionyesha kwamba civil resistance inaweza kuwa digital



---

7. Operation Aurora (2009–2010)

Google, Adobe, na kampuni zaidi ya 20 zilishambuliwa

Ilifanywa na Chinese state-backed hackers

Ililenga kupata source code za kampuni kubwa



---

8. WannaCry Ransomware (2017)

Iliambukiza zaidi ya 300,000 computers in 150+ countries

Iliathiri hospitali za NHS (UK), Telefonica, na systems zingine za taifa

Inasemekana ni kazi ya Lazarus Group (North Korea)

Ilitumia exploit ya NSA: EternalBlue



---

9. Colonial Pipeline Hack (2021)

Iliharibu supply ya mafuta USA kwa wiki

Ilifanywa na DarkSide ransomware group

Ilibidi kampuni walipe $4.4 million in Bitcoin kurudisha control



---

10. Mt. Gox Bitcoin Exchange Hack (2014)

Exchange kubwa ya Bitcoin ilidukuliwa

Zaidi ya 850,000 BTC ziliibiwa (worth $450 million that time)

Ilisababisha crypto crash

Mpaka leo — pesa haijulikani ilipo



---

Masterpieces watu wenye matukio hatari 😂 Hawa wasenge nyoko

Kevin Mitnick: Hacker wa kwanza mkubwa wa Marekani (alifikia FBI systems)

Gary McKinnon: Alidai aliona UFO files kwenye Pentagon (UK hacker)

MafiaBoy (Michael Calce): Alifunga CNN, Dell, Yahoo, eBay akiwa na miaka 15!
 

Attachments

  • IMG-20250522-WA0046.jpg
    IMG-20250522-WA0046.jpg
    111.3 KB · Views: 18
Fbi imedukuliwa,serikali ya Marekani the same,makampuni makubwa ya dunia yanadukuliwa,alafu wajinga kibao wanashangaa Tanzania kudukuliwa.Hao wanaojifanya mabingwa wa tech wanadukuliwa sembuse Tz,wacha bongo wajifunze kutokana na makosa.
 
kama kwenye hao hackers hayupo yule dogo wa algeria basi ni batili.
 
Back
Top Bottom