Hizi pranks kwanini wabongo hawafanyi hapa.? Yani zinafurahisha mno sjui kwanini hawagusi.. Walikuwepo vuvuzela comedy clouds tv na segment ya imekubamba ambayo ni PRANK baada ya show kufa na pranks zikapotea ghafla. Kenya wana ile NASWA
Hizi pranks kwanini wabongo hawafanyi hapa.? Yani zinafurahisha mno sjui kwanini hawagusi.. Walikuwepo vuvuzela comedy clouds tv na segment ya imekubamba ambayo ni PRANK baada ya kufa na pranks zikapotea ghafla.