Top 10 film performances all the time.

Robert De Niro as real-life boxer Jake La Motta in Raging Bull.
 
Daniel Day-Lewis plays Daniel Plainview, an oil tycoon driven by greed, in There Will Be Blood.
 
Mrs u too
Nipo gado kamili? vp wewe? halaf mbona ulipotea ghafla kama rais wa Libya. Nani alikuficha? explain (2 marks)

mi salama salumini kabisa sasa..

Dahhh nilikuwa mahabusu, wakanihamisha lupango,
wakanifungia kitambo hukunileta hata uji.... real disappointed on you .. I thought we are friends??.. :( :A S-cry:
 
mi salama salumini kabisa sasa..

Dahhh nilikuwa mahabusu, wakanihamisha lupango,
wakanifungia kitambo hukunileta hata uji.... real disappointed on you .. I thought we are friends??.. :( :A S-cry:
Kweli nimesibitisha Lupango hakuna redio, yaani niliandamana na mgomo wa chakula nikaweka na bado habari haukuzipata?

Hebu pitia hili sredi takatifu la maandamano.

https://www.jamiiforums.com/complaints-congrats-advice/231457-msamaha-wa-ban.html

Walikuweka jela la wanawake watupu?
 
ooohhhhhhh dahhhhh asante sana
hadi kula uliacha mwehhhhhhh ..

0089.gif
Thank you hunny bunny .... yeah jela wanawake watupu :bump2:
 
ooohhhhhhh dahhhhh asante sana
hadi kula uliacha mwehhhhhhh ..

0089.gif
Thank you hunny bunny .... yeah jela wanawake watupu :bump2:

Yep! na nimewaambia wakikuban tena nitatumia uwezo wa faza kuibloki JF isipatikane hapa shekoslovakia.
Lakini walikufungulia zamani bana ila still hauonekani, mi nikajua umeshhinda lotto umeamua kuitafuna peke yako.
 
Back
Top Bottom