Top 10 destroyers

Top 10 destroyers

Duniani kuna zaidi ya aina 45 za meli za kijeshi ambazo zinajulikana kama Naval vessels lakini kwa sasa meli za kijeshi zimegawanywa katika makundi 7 ambayo ni aircraft carriers, cruisers,destroyers ,frigates, corvettes, submarines na. amphibious assault ships sasa ukiuliza tofauti ya destroyers na meli zingine nadani tungechambua aina 3 ambazo ni maarufu
1 Submarines
2 Aircraft carriers
3 Destroyers

Submarines nilishaielezea kwa kirefu labda Aircraft carriers hizi ni meli za kivita ambazo zinaoperate kama airforce base za kwenye maji meli hizi zinatumika sana kusafirisha na kuudumia ndege za kivita mbali na eneo la nyumbani (Airforce ground bases) ndege hizi zinakuwa na kiwanja cha kuwezesha ndege za kivita ku carrying, arming, deploying, na ku recovering aircraft ukiangalia meli kubwa ijulikanayo kama super aircraft carrier USS Nimitz ambayo ukubwa au urefu wa kutoka chini mpaka juu ni kama ghorofa 20 1,092 feet (333 meters) ambapo kila sekunde 25 kuna tukio la kupaa au kutua kwa ndege za kivita yani kama ingekuwa Airport basi ingekuwa ni moja ya Airport zilizo busy sana meli hizi hazina mwendo mkubwa sana ambapo mwendo wake ni 35 knots (40 mph, 64 kph)

Ukizungumzia Destroyers hapa unazungumzia kama bodyguard wa Aircraft carrier meli hizi ndio zinatumika kuzilinda na kuescort meli kubwa za kivita kwani Destroyers ni meli zenye mifumo na uwezo mkubwa sana wa kiulinzi na mashambulizi ambapo kwanza zina speed kubwa pili ni maneuverable hizi ni kama jet fighter za majini ambazo zinauwezo wa kudefend na kuprotect meli kubwa za kijeshi dhidi ya smaller powerful short-range attack.
Asante sana mkuu. Ntolonyonyo nahisi utakua umeelewa sasa.
Nalendwa jibu lako lipo tayari.
 
Muhindi nae anajitahidi sana. Kula pilipili nyingi sio mchezo. Ndo maana nalisha mwanangu pilipili awe na maakili mengi.

Serious note. Niliangalia kipindi chao kimoja kuhusiana na Nucleur ambitions naona wanapiga hatua kubwa kubwa mno. Haswa ukizingatia uhusiano wao na wale cousins wao Pakistan ulivyo tense.

Pia katika kubalance power ya mchina pale Mashariki ya mbali muhindi analazimika afanye juhudi sana. Naona kila Mchina anapotoboa zaidi Muhindi anacounter. Halafu equation inazidi kuwa tamu wakati huu mjapani naye pia anapata ahueni ya masharti yake ya kujilinda. Kutoka Self Defence Force mpaka kuwa Regular force. Nadhani miaka 10 ijayo kutakua na msuguano mkubwa zaidi kati ya China&Japan ambao ni maadui wa kihistoria ukichanganya na India.....naye na adui wake Paki

Eti ulishe watoto pilipili asee!...lol

Wahindi huwa nawaona kama Asians, wanajitahidi sana inapokuja suala la kujiongeza na kuwa juu. Ugomvi wao na cousins wao ndo yaleyale ya North and South K.
So Mjapan anatoka self defence anakuwa regular? Interesting. In the next ten yrs, China should watch out then.
Mjapan sio yuko way ahead in technology, kama anakuwa na regular forces si anaweza kuwa USA of their area?

ze kokuyo izzo
 
Duniani kuna zaidi ya aina 45 za meli za kijeshi ambazo zinajulikana kama Naval vessels lakini kwa sasa meli za kijeshi zimegawanywa katika makundi 7 ambayo ni aircraft carriers, cruisers,destroyers ,frigates, corvettes, submarines na. amphibious assault ships sasa ukiuliza tofauti ya destroyers na meli zingine nadani tungechambua aina 3 ambazo ni maarufu
1 Submarines
2 Aircraft carriers
3 Destroyers

Submarines nilishaielezea kwa kirefu labda Aircraft carriers hizi ni meli za kivita ambazo zinaoperate kama airforce base za kwenye maji meli hizi zinatumika sana kusafirisha na kuudumia ndege za kivita mbali na eneo la nyumbani (Airforce ground bases) ndege hizi zinakuwa na kiwanja cha kuwezesha ndege za kivita ku carrying, arming, deploying, na ku recovering aircraft ukiangalia meli kubwa ijulikanayo kama super aircraft carrier USS Nimitz ambayo ukubwa au urefu wa kutoka chini mpaka juu ni kama ghorofa 20 1,092 feet (333 meters) ambapo kila sekunde 25 kuna tukio la kupaa au kutua kwa ndege za kivita yani kama ingekuwa Airport basi ingekuwa ni moja ya Airport zilizo busy sana meli hizi hazina mwendo mkubwa sana ambapo mwendo wake ni 35 knots (40 mph, 64 kph)

Ukizungumzia Destroyers hapa unazungumzia kama bodyguard wa Aircraft carrier meli hizi ndio zinatumika kuzilinda na kuescort meli kubwa za kivita kwani Destroyers ni meli zenye mifumo na uwezo mkubwa sana wa kiulinzi na mashambulizi ambapo kwanza zina speed kubwa pili ni maneuverable hizi ni kama jet fighter za majini ambazo zinauwezo wa kudefend na kuprotect meli kubwa za kijeshi dhidi ya smaller powerful short-range attack.

Meli gholofa 20 wow!, wengine tutafika leo kweli. Ndege tu za abiria zinatutoa jasho..
Shukran izzo, nilishindwa kutofautisha Aircraft carriers na Destroyers.
 
Eti ulishe watoto pilipili asee!...lol

Wahindi huwa nawaona kama Asians, wanajitahidi sana inapokuja suala la kujiongeza na kuwa juu. Ugomvi wao na cousins wao ndo yaleyale ya North and South K.
So Mjapan anatoka self defence anakuwa regular? Interesting. In the next ten yrs, China should watch out then.
Mjapan sio yuko way ahead in technology, kama anakuwa na regular forces si anaweza kuwa USA of their area?

ze kokuyo izzo

Ndo hivo kwa muelekeo waGeopolitics za South Eastern Pacific naona mjapani akijiimarisha zaidi kutoka yule aliyekua wa kujitolea katika Peace missions za UN pekee ila kwa sasa anajiimarisha katika defence na hapo mbeleni soon atakua na uwezo mkubwa wa "Projection of power" ukizingatia kama ulivyosema yuko mbali sana kiteknolojia. Lakini pia kwa asili tu ni mtaalamu sana wa Naval warfare.

Kuna dramatic change of policies ndani ya kapan na ukizingatia kile kizazi cha "pacifiers" kinaisha
 
Meli gholofa 20 wow!, wengine tutafika leo kweli. Ndege tu za abiria zinatutoa jasho..
Shukran izzo, nilishindwa kutofautisha Aircraft carriers na Destroyers.
Kama mpk sasa tunategemea ela za rambirambi kukarabat hospitali kufka huko tusahau
 
Ndo hivo kwa muelekeo waGeopolitics za South Eastern Pacific naona mjapani akijiimarisha zaidi kutoka yule aliyekua wa kujitolea katika Peace missions za UN pekee ila kwa sasa anajiimarisha katika defence na hapo mbeleni soon atakua na uwezo mkubwa wa "Projection of power" ukizingatia kama ulivyosema yuko mbali sana kiteknolojia. Lakini pia kwa asili tu ni mtaalamu sana wa Naval warfare.

Kuna dramatic change of policies ndani ya kapan na ukizingatia kile kizazi cha "pacifiers" kinaisha

I see. Mabadiliko haswa, ni kitu cha kushangaza sana m Japan alivyoamua kuwa wa kujitolea zaidi na defence after WW2 ukizingatia waliwasumbua sana Wamarekani mpaka kupelekea kudondoshwa Atomic. Kwa mwendo wake huu, na jirani yake mchina alivyo competative, that area won't cool down anytime soon then. Kila mtu atataka kuonyesha misuli.
 
Hilo la Japan limetokana na kuzid kwa uchokoz wa China na kuendelea kuongeza nguvu zake kijeshi.Ila hii itakua faida kwa Marekani maana atakua akimtumia Japan kuenea ushawishi wake eneo hilo na pia kumdhibiti China.
 
Ilishangaza kiasi, majirani zao kila siku majaribio ya silaha lakini wenyewe walikuwa poa tu.
 
Mada nzuri lakini hakushiba hasa uliposema inaweza kupiga range ya 135km
kuna vichaa wanatuma 13,000 km
kwanza tuanze na nini maana ta Destroyer
Defencyclopedia defines a destroyer as “A modern destroyer is a 6000-12,000 ton warship, equipped with an array of long-range missiles, guns, and high power radars, and is designed to operate autonomously or along with a battle group in order to fulfill a variety of tasks which typically consist of land attack, missile defense, and surface warfare”
Link yake Top 10 Most Powerful Destroyers In The World

  • Wondering why the 14,000 ton Zumwalt doesn’t feature in this list? That’s because they are guided missile cruisers and have the ‘destroyer’ classification wholly for political reasons. Also, they are ‘TABPUS’ – Technologically Advanced But Practically Useless Ships
zumwalt_turns_16x9.jpg
 
Mkuu sijakupata fresh hasa hpo kwenye 135km na 13000km.
 
Back
Top Bottom