juan moses
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 2,403
- 2,485
The Great King Sejong O lf Joseon.
What!, [emoji15]![]()
Mwaka Jana hyo ilikua.
Sijui wenzake walimWannaCry(hack) au walimRussia(Jam)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nikimnanga naogopa povu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha... W acha tu... Km wamekunywa Foma Gold
Uzi na details sambamba, saante!, huwa natamani kuyajua vizuri haya ma enormous vessles.
Mrusi ana miss hapa lakini Mhindi yupo. Hawa watu huwa hawabaki nyuma.
Uzi mzuri jitahidi ku edit kuanzia ndogo hadi kubwaKwan pale mtu anapokosea na kutuma sms ya matusi kwa mamake au babake ile inakua ni nn?!
Ukitaka kuelewa hili swali inabidi ufahamu kwanza kuhusuHizi destroyers zina-destroy nn...zinatofautiana nn na meli nyingine za kivita?
Sawasawa mkuu...asante....Ukitaka kuelewa hili swali inabidi ufahamu kwanza kuhusu
1: Frigate
2😀estroyer
3:Cruiser
Halafu unakuja kwa baba lao wa mwisho
4:Aircraft Carrier
Kimsingi ni kwamba katika vita ya kwenye maji(naval warfare) jinsi chombo kinavyokua kikubwa ndio kinakua hatari zaidi kwa maana kwamba kinawekewa mitambo zaidi na uwezo mkubwa zaidi wa silaha bali kinapoteza advantage moja/mbili muhimu.
Kwa ukubwa manaake unakua na radar cross section kubwa na pia unapoteza uwezo wa "maneuverbility" kirahisi.
Hivyo basi katika vita. Haswa wakiwa wanaenda kwa formation. Tukianza na carrier ndo anakua most vulnerable kwenye "strike group" japokua inawezekana yeye ndo akawa na mission kubwa. Hivyo ni kazi ya hawa wa chini kuilinda carrier. Na wote hufanya kazi hio.
Ila ukifwatilia huo mlolongo nilioonesha. Ambaye yuko kwenye advantage zaidi ni destroyer kwakua kwa kias flani imebuniwa(by design) kubalance kati ya firepowe,maneuverbility,speed na pia ni ndogo haionekani kirahisi.
Kujibu swali lako basi.....deatroyer ina uwezo wa kudeatroy kila kitu kuanzia nyambizi chini ya maji,boti ndogo kwenye maji,meli kwenye maji,tagert ardhini na pia hata ndege angani.
Na destroyer inaweza kusimama battle hata ikiwa pekeyake with multiple threats. Uwezo huu unaweza kufikiwa pia na Cruisers mara nyingine kutegemeana na classification(cruisers na destroyer zikiwa na helipad zinakua hatari zaidi)
Hizo mbili ndo uti wa mgongo wa NAVY yeyote ile.
Kwa kifupi yani ndo hivo
Duniani kuna zaidi ya aina 45 za meli za kijeshi ambazo zinajulikana kama Naval vessels lakini kwa sasa meli za kijeshi zimegawanywa katika makundi 7 ambayo ni aircraft carriers, cruisers,destroyers ,frigates, corvettes, submarines na. amphibious assault ships sasa ukiuliza tofauti ya destroyers na meli zingine nadani tungechambua aina 3 ambazo ni maarufuMkuu izzo swali lako hili!!