Top 10 Attack Submarines

Top 10 Attack Submarines

[emoji23] ni vya ndani ili kujiimarisha zaid


Kweli, kujiimarisha zaidi dhidi ya upinzani ndo tunachojua sisi, tuna silaha zetu tunazoonyeshwa kama pale Taifa na kwingine mfano maji ya kuwasha kwa ajili ya kujilinda na upinzani.
 
Mkuu izzo nankumene ze kokuyo Elungata madam Nalendwa tunaomba majibu kwa hilo swali la coscated [emoji115] na wengine tujue zaidi haya mambo tuzid kujifunza.
Swali post no #22
Hapa swala itakua ni pressure ya maji maana kadri unavyozidi kuzama ndo pressure inazid kua kubwa so km ukiilazimisha izame zaid kuliko uwezo wake iliokua nao dhidi ya hyo pressure bhasi itapasuka bila Shaka. coscated

Mkuu Elungata karibu, njoo utuongezee zaid.
Mkuu kuna Submarine za aina mbili
1 Nuclear powered Submarine
2 Diesel powered submarine
Submarine zina matank makubwa mawili ambayo yanajulikana kama (Ballast tanks) pia zina Air compressor kubwa kinachofanyika ikitaka kuzama hewa inatolewa kwenye tanks na kujaza maji ikitaka kupanda juu kinafanyika kinyume chake maji yanatolewa na kujazwa hewa kwenye tanks

Submarine zinaweza kwenda deep kiasi gani mara nying ni jambo ambalo ni siri lakini Submarine zinaweza kwenda chini zaidi ya futi 800 pia Submarine zinaweza kukaa chini kwa muda gani hapa ndipo aina za Submarine zinakuja

Nuclear powered sub hizi zinaweza kukaa chini muda mrefu sana kwani zina nishati ya kutosha kuzifanya kuweza kukaa chini lakini kuna kitu ambacho Binadamu yeyote kitakufanya kutoka ulipo jificha kutoka kukitafuta
1 Chakula
2 Madawa
3 Mahitaji mengine
Nuclear power subs nying zinakaa miezi 3 then zinapanda juu kuchukua Mahitaji ya kibinadamu kama niliyoyataja hapo juu

Diesel powered submarines hizi hazina uwezo wa kukaa chini muda mrefu kutokana na mifumo ya uendeshaji kuitaji hewa Diesel engines zinaitaji hewa hili ziweze kufanya kazi so inalazimu sub kupanda juu kwa ajili ya engine za Diesel kuwezesha kupatikana nishati ya kuchajisha batteries ambazo zinatumika kuendesha mifumo ya submarine ikiwamo mifumo ya hewa safi ndani ya submarine

Nuclear power submarine zinakwenda speed kuzidi Diesel engines subs nuclear power sub zinakwenda speed ya 23 miles kwa saa , sawa na 37 kilometers kwa saa sawa na 20 knots (nautical miles per hour)

Submarine zina mifumo yote ya mawasilino kuanzia mifumo ya Computer, Internet,Fax,voice and data , simu na yote inaweza kufanya kazi hata wakiwa chini ya maji

Submarine zina mifumo ya Sonar (SOund NAvigation and Ranging) ambayo inatumika kudetect meli na submarine zingine
Submarine zinamifumo ya uokoaji kama zilivyo meli kubwa kunakuwa na boats ambazo zinakuwa attached kwenye meli lakini submarine kunakuwa na Deep Submersible Rescue Vehicles (DSRV) pia kwa submarine za kisasa kunakuwa na mfumo wa Submarine Rescue Diving and Recompression System.
Pia Submarine zina mifumo ya kuziwezesha kufika pale walipokusudia mifumo hyo ni kama Navigation system ambazo zinajulikana kama Submarine Navigators and Quartermasters ambazo zinakuwa guide na mifumo ya Computer ndani ya Submarine pia kuna navigational charts ambazo meli huzitumia

kama kuna swali unaweza ulinza na wengine wanaweza ongezea

Gomez Luna

Haya mavitu yanazidi kuonyesha jinsi wenzetu walivyo mbali.
 
mkuu ivi izo submarrine aswa zinatengenezwa wapi au kila nchi inajitengenezea wenyew
 
Siku Sizonje akimchokoza Trump ndio itakuwa mwisho wa jeshi letu lenye vifaa vikuukuu.Ma Tommahowk yatafurumushwa toka jibut kwenye kambi zetu zote!
 
mkuu ivi izo submarrine aswa zinatengenezwa wapi au kila nchi inajitengenezea wenyew
97c8ef17e7533e0da16d50e0ae7f56d3.jpg
b2a5fb25572e8b34a859fa26b144c3aa.jpg
de8ea8f07ea45f50bb00ee57f52d3730.jpg

Viwanda maalum km ilivyo bidhaa nyingne
 
Back
Top Bottom