Top 10 Attack Submarines

Top 10 Attack Submarines

Vipi ni kitu gani kinafanya nyingine zinazama kina kirefu na nyingine kina kifupi? Hiyo ya kuzama mita 500 ikienda mita 600 inapitiliza au ni nini kitatokea?
 
Not to that extent. Watch it.
Naanza kuamini maana maneno yanayoendelea baina ya hawa wakubwa hayaeleweleki!!! Mkubwa kabisa kaufyata na anaanza kubembeleza upande wa pili wakati keshatumia gharama kubwa kwenda kwa majirani wasiokua na hatia.... huyu dogo ni hatareeee!!!!!!!
 
Mkuu izzo nankumene ze kokuyo Elungata madam Nalendwa tunaomba majibu kwa hilo swali la coscated [emoji115] na wengine tujue zaidi haya mambo tuzid kujifunza.
Swali post no #22
Mkuu kuna Submarine za aina mbili
1 Nuclear powered Submarine
2 Diesel powered submarine
Submarine zina matank makubwa mawili ambayo yanajulikana kama (Ballast tanks) pia zina Air compressor kubwa kinachofanyika ikitaka kuzama hewa inatolewa kwenye tanks na kujaza maji ikitaka kupanda juu kinafanyika kinyume chake maji yanatolewa na kujazwa hewa kwenye tanks

Submarine zinaweza kwenda deep kiasi gani mara nying ni jambo ambalo ni siri lakini Submarine zinaweza kwenda chini zaidi ya futi 800 pia Submarine zinaweza kukaa chini kwa muda gani hapa ndipo aina za Submarine zinakuja

Nuclear powered sub hizi zinaweza kukaa chini muda mrefu sana kwani zina nishati ya kutosha kuzifanya kuweza kukaa chini lakini kuna kitu ambacho Binadamu yeyote kitakufanya kutoka ulipo jificha kutoka kukitafuta
1 Chakula
2 Madawa
3 Mahitaji mengine
Nuclear power subs nying zinakaa miezi 3 then zinapanda juu kuchukua Mahitaji ya kibinadamu kama niliyoyataja hapo juu

Diesel powered submarines hizi hazina uwezo wa kukaa chini muda mrefu kutokana na mifumo ya uendeshaji kuitaji hewa Diesel engines zinaitaji hewa hili ziweze kufanya kazi so inalazimu sub kupanda juu kwa ajili ya engine za Diesel kuwezesha kupatikana nishati ya kuchajisha batteries ambazo zinatumika kuendesha mifumo ya submarine ikiwamo mifumo ya hewa safi ndani ya submarine

Nuclear power submarine zinakwenda speed kuzidi Diesel engines subs nuclear power sub zinakwenda speed ya 23 miles kwa saa , sawa na 37 kilometers kwa saa sawa na 20 knots (nautical miles per hour)

Submarine zina mifumo yote ya mawasilino kuanzia mifumo ya Computer, Internet,Fax,voice and data , simu na yote inaweza kufanya kazi hata wakiwa chini ya maji

Submarine zina mifumo ya Sonar (SOund NAvigation and Ranging) ambayo inatumika kudetect meli na submarine zingine
Submarine zinamifumo ya uokoaji kama zilivyo meli kubwa kunakuwa na boats ambazo zinakuwa attached kwenye meli lakini submarine kunakuwa na Deep Submersible Rescue Vehicles (DSRV) pia kwa submarine za kisasa kunakuwa na mfumo wa Submarine Rescue Diving and Recompression System.
Pia Submarine zina mifumo ya kuziwezesha kufika pale walipokusudia mifumo hyo ni kama Navigation system ambazo zinajulikana kama Submarine Navigators and Quartermasters ambazo zinakuwa guide na mifumo ya Computer ndani ya Submarine pia kuna navigational charts ambazo meli huzitumia
Pia unaweza jiuliza Submarine zinazama chini ya maji je wanaonaje juu kama zilivyo meli au boat jibu ni kuwa Submarine zina vifaa vya kuweza kuona juu tena vyenye uwezo mkubwa kuliko hata meli Submarine zina kifaa kinaitwa periscope depth (PD) ambacho kina uwezo zaidi ya mara 100 wa kuona kuliko Rada za meli za kawaida submarine za zamani zilikuwa ukitaka kuona unachungulia lakini periscope depth (PD) za kisasa unakuwa unaona kupitia mifumo ya computer so kila mtu anaweza kuona mnapokwenda na juu kulivyo ni kama vile unapovaa miwani ya 3D kuangalia movie au mpira yani unajiona kama uko uwanjani kumbe uko sitting room kwako periscope depth (PD) zinauwezo wa kuona 360 degrees na zinauwezo wa kuona ndege ,meli, makombora na submarine zingene na kuprovide information za umbali na kilipo kifaa hicho so kuwezesha submarine kukishambulia kama kitaleta hatari yeyote


kama kuna swali unaweza ulinza na wengine wanaweza ongezea
 
Mkuu kuna Submarine za aina mbili
1 Nuclear powered Submarine
2 Diesel powered submarine
Submarine zina matank makubwa mawili ambayo yanajulikana kama (Ballast tanks) pia zina Air compressor kubwa kinachofanyika ikitaka kuzama hewa inatolewa kwenye tanks na kujaza maji ikitaka kupanda juu kinafanyika kinyume chake maji yanatolewa na kujazwa hewa kwenye tanks

Submarine zinaweza kwenda deep kiasi gani mara nying ni jambo ambalo ni siri lakini Submarine zinaweza kwenda chini zaidi ya futi 800 pia Submarine zinaweza kukaa chini kwa muda gani hapa ndipo aina za Submarine zinakuja

Nuclear powered sub hizi zinaweza kukaa chini muda mrefu sana kwani zina nishati ya kutosha kuzifanya kuweza kukaa chini lakini kuna kitu ambacho Binadamu yeyote kitakufanya kutoka ulipo jificha kutoka kukitafuta
1 Chakula
2 Madawa
3 Mahitaji mengine
Nuclear power subs nying zinakaa miezi 3 then zinapanda juu kuchukua Mahitaji ya kibinadamu kama niliyoyataja hapo juu

Diesel powered submarines hizi hazina uwezo wa kukaa chini muda mrefu kutokana na mifumo ya uendeshaji kuitaji hewa Diesel engines zinaitaji hewa hili ziweze kufanya kazi so inalazimu sub kupanda juu kwa ajili ya engine za Diesel kuwezesha kupatikana nishati ya kuchajisha batteries ambazo zinatumika kuendesha mifumo ya submarine ikiwamo mifumo ya hewa safi ndani ya submarine

Nuclear power submarine zinakwenda speed kuzidi Diesel engines subs nuclear power sub zinakwenda speed ya 23 miles kwa saa , sawa na 37 kilometers kwa saa sawa na 20 knots (nautical miles per hour)

Submarine zina mifumo yote ya mawasilino kuanzia mifumo ya Computer, Internet,Fax,voice and data , simu na yote inaweza kufanya kazi hata wakiwa chini ya maji

Submarine zina mifumo ya Sonar (SOund NAvigation and Ranging) ambayo inatumika kudetect meli na submarine zingine
Submarine zinamifumo ya uokoaji kama zilivyo meli kubwa kunakuwa na boats ambazo zinakuwa attached kwenye meli lakini submarine kunakuwa na Deep Submersible Rescue Vehicles (DSRV) pia kwa submarine za kisasa kunakuwa na mfumo wa Submarine Rescue Diving and Recompression System.
Pia Submarine zina mifumo ya kuziwezesha kufika pale walipokusudia mifumo hyo ni kama Navigation system ambazo zinajulikana kama Submarine Navigators and Quartermasters ambazo zinakuwa guide na mifumo ya Computer ndani ya Submarine pia kuna navigational charts ambazo meli huzitumia


kama kuna swali unaweza ulinza na wengine wanaweza ongezea
Mkuu thanks,uko deep sana kwenye hayo mambo. Tupakulie zile Carriers na Zile FOAB(Satan2) vs MOAB!
 
Jina lenyewe Lina tatizo hivi umeshawahi kumsikia konda wa boda boda?... Mkuu acha kupoteza nguvu kubwa kujibu wamatumbi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa kweli ni kupoteza muda na energy tu.
 
Vipi ni kitu gani kinafanya nyingine zinazama kina kirefu na nyingine kina kifupi? Hiyo ya kuzama mita 500 ikienda mita 600 inapitiliza au ni nini kitatokea?
Zinakua zimetengenezwa kuhimili kiasi flani cha pressure ziwapo chini ya maji. Hvyo km ya 500m ikaenda 600m bhas kuna hitilafu inaweza kutokea ikiwemo hata kupasuka km ikienda mbali zaid mfano 800m. Ni km vile gari la kubeba tani 1 wewe ukapakia tani 5 ...
 
Back
Top Bottom